Huo ni utani tu.Mwenyekiti Mbowe amejitolea kwa hali na mali kuisaidia Chadema.Mangi kwenye Shilingi anaweza hata akaangusha Gari akisikia mlio Shilingi ikidondoka.
Mbowe hayatoka familia maskini ya kufikiria pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni utani tu.Mwenyekiti Mbowe amejitolea kwa hali na mali kuisaidia Chadema.Mangi kwenye Shilingi anaweza hata akaangusha Gari akisikia mlio Shilingi ikidondoka.
Jamii zetu hapa Tanzania tunazijua vizuri, kwenye Pesa Mangi hana mchezo.Huo ni utani tu.Mwenyekiti Mbowe amejitolea kwa hali na mali kuisaidia Chadema.
Mbowe hayatoka familia maskini ya kufikiria pesa.
Amini nakwambia Wenje,Mbowe na Sugu watarudi bungeni,usichezee CCM weweHawa wahuni sijui kwamba watakuja kuambulia hata kiti kimoja cha ubunge. Waliaminisha watu kama ni watetezi wa wananchi kumbe wahuni watupu. Kwenye hicho tokea hili sekeseke nimeona kulikuwa na mtu mmoja tu ambaye ni TAL, wengine ni wale ambao wahenga walisema kikulacho kinguoni mwako. Mh Lisu aliishi na virusi bila yeye kuwatambua
Leo unamuita kibaraka?😁Kibaraka tu huyu.
Nimecheka sana.Mangi kwenye Shilingi anaweza hata akaangusha Gari akisikia mlio Shilingi ikidondoka.
Baada ya kusikiliza unachukua facts na siyo maneno yasiyo na uzito.Simjui ni nani anasema uongo, na nani anamzushia mwenzake kusema uongo,, hii issue ya magari nimeisikia kwa Wenje jana YouTube.
Siwezi kumhukumu yeyote mpaka tumsikilize na Lissu atasemaje kuhusu hizo tuhuma.
Ha ha ha ha !Leo unamuita kibaraka?😁
Your DP says it all!Wenje yuko sahihi kabisa, kwa hili nimemuona Lissu muongo mkubwa sana na mchafu watu
Lissu ni advocate, anajua fika ushahidi usiotia shaka wa kesi husika ndio unampa shavu.Huenda kuna matatizo kwenye sources za Lissu huenda pia Magufuli alikuwa akipotoshwa kwa makusudi kabisa lakini hawa ni Viongozi wazuri.
Ninamshauri Lissu awe makini na Watu wanaomletea habari huenda hao wanafanya kazi na maadui zake.