S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Jan 16, 2025 #21 johnthebaptist said: Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana Click to expand... Hili hayati Magufuli alishiriki.
johnthebaptist said: Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana Click to expand... Hili hayati Magufuli alishiriki.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jan 16, 2025 #22 johnthebaptist said: Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana Click to expand... Umejawa na upuuzi mwingi sana
johnthebaptist said: Ni swala la Muda tu na hii itawashangaza wengi RIP shujaa Magufuli Ahsanteni sana Click to expand... Umejawa na upuuzi mwingi sana
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 8,457 Reaction score 3,033 Jan 16, 2025 #23 Credit said: Aliwaonya lakini. View attachment 3203701 Click to expand... Halitasalia jiwe juu ya jiwe. Awe makini asije akatekwa na genge la sultani kwa msaada wa Abdul
Credit said: Aliwaonya lakini. View attachment 3203701 Click to expand... Halitasalia jiwe juu ya jiwe. Awe makini asije akatekwa na genge la sultani kwa msaada wa Abdul
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 16, 2025 Thread starter #24 Kamundu said: Kasome kitabu halafu tuambie kitu gani ni cha uongo sio kutuletea umbea umbea. Kabishane na usalama wa taifa ambao wametoa hizo habari kwa mwandishi. Mungu analipa . Kikubwa ni kumuombea tu. Click to expand... Kwani huyo Ben Saanane alikuwa Mtumishi wa Wapi hadi awe msaidizi maalumu wa Mbowe Usiwe Pimbi 😂😂 Kubenea: Ben Saanane huwa namkuta Maktaba akisoma Magazeti
Kamundu said: Kasome kitabu halafu tuambie kitu gani ni cha uongo sio kutuletea umbea umbea. Kabishane na usalama wa taifa ambao wametoa hizo habari kwa mwandishi. Mungu analipa . Kikubwa ni kumuombea tu. Click to expand... Kwani huyo Ben Saanane alikuwa Mtumishi wa Wapi hadi awe msaidizi maalumu wa Mbowe Usiwe Pimbi 😂😂 Kubenea: Ben Saanane huwa namkuta Maktaba akisoma Magazeti