Yaani muda mwl mzuri sana. Enzi za Dkt Magufuli tuliwaasa kuwa ndugu Lisu anatumia mabeberu kuidhoofisha nchi kwenye juhudi za kujikomboa kutoma makucha ya mikataba mibovu, yaani alishirikiana na wenzake kama akina Dkt Kafuku, Mwanyika eti kutafuta weakness ya serikali ili wazungu wajiandae kwenda kushitaki serikali, na hatimaye walipata wa kushirikiana nao toka serikalini na matokeo yake waliokuwa wanamshauri Dkt Magufuli wakafanya kwa maelekezo ya akina lisu kuvunja mikaba with loophole ambayo kweli wazungu wametuweza. Leo hii huyo huyo wakala wa wazungu na mueneza ushoga karudi tena sasa kwao eti mnalalamika hahaha tulieni dawa iwangie vizuri