Wenje, FAM na chawa wengineo nawatahadharisha kuwa siku mkimaliza pesa za Abdul na mama Abdul mtafute pa kuficha sura zenuView attachment 3189166
Mgombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti Ezekiah Wenje amesema anasikitishwa sana na kushindwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CHADEMA (Tundu Lissu).
Amesema tokea ashike nafasi hiyo hajawahi kuitisha hata kikao kimoja cha kamati hiyo ya maadili na hivi sasa kuna watovu wa nidhamu wengi ndani ya chama. Amesema hayo asubuhi ya leo akihojiwa na Radio ya Wasafi FM.