Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Lisu hana Njaa

Angesema aidai Chadema hela za KESI alizosimamia Saccos ya Tuntemeke Sanga ingefirisika

Ile KESI ya Bulaya na Tyson pekee na Lisu akashinda inatosha kulipa madeni yote hadi Nyumba ya Bunge pale Dodoma 😂😂
Mbowe kazoea kuwabambikia madeni hewa chadema kisha kujilipa kienyeji ikiwa ni njia ya kutakatisha pesa alizoiba hazina ya chadema, Sasa fikiria hao vichwa viwili vibovu wenje na mbowe wapewe uongozi watamaliza pesa za chama kwa madeni hewa
 
Huko Belgium,familia imepanga,watoto wanasoma, baba hana kazi
Anakula kwako? hata wewe unaishi gheto kwa wenje huna kazi zaidi ya kuvuta bangi na kula pesa za mbowe kwa visingizio kuwa unatetea madhaifu yake mitandaoni
 
Kitengo cha propaganda cha Mbowe na wenje mnakula pesa za bure toka kwa mbowe ingawa ni pesa Mbowe kaziiba hazina ya chadema, mnamtia Aibu Mbowe kwani badala mmsaidie mnazidi kumdidimiza kwa kuandika ujinga mtupu
 
Mbowe katengeneza mazingira slaa akatwe kipindi hiki ili apate kuihujumu kambi ya lisu kiwepesi
Slaa hakutumia akili unaropoka vipi jadi unakiri umefanya jinai tena dhidi ya raisi? Bado tuna safari ndefu sana kwenye elimu au sijui mazingira yetu yanatufanya tuwe watu wa hovyo pamoja na mavyeti yetu ya shule
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai

Source: Wasafi tv

Baadae Mlale unono 😂🔥
Wenjeee nayeeee mbona kama sio mwanaume huu ni ujinga gan? Kwan kukopeshana si mambo binafsi? Kwa nn uyalete huku??
 
Atamlipa akiwa Rais
Kumbuka Rais ana mamilioni ya bure kila mwezi
Atayagawa kwa kila anaemdai
Na zingine atarndelea kukopa kwa mgongo wa Serikali
Nachukia wakopaji wasiorudisha hela
 
Wewe ndiyo jitu jinga mda huu ni wa kwenda mahakamani? Lisu yupo busy na kampeni madeni yenu hewa mtabakia nayo huko gheto mnaposhinda mkivuta bangi na kula pesa za mbowe bure kwa kumdanganya mnamtetea mitandaoni
Bahati mbaya sana huwa sijibu hoja za kijinga.
 
Lisu hana Njaa

Angesema aidai Chadema hela za KESI alizosimamia Saccos ya Tuntemeke Sanga ingefirisika

Ile KESI ya Bulaya na Tyson pekee na Lisu akashinda inatosha kulipa madeni yote hadi Nyumba ya Bunge pale Dodoma 😂😂
Kwanini sasa Lissu ni Bingwa wa kuombaomba?
 
Tumkimpa chama au nchi itakuwaje ?.
1. Chama chenu (CHADEMA) kitaendelea kukopa kwa Freeman Mbowe kwa riba kubwa....

Au Mr Ngongo huyu Kamanda wenu wa anga Freeman Mbowe akishindwa ndo atasusa kukopesha chama chenu kwa kuwa hatakuwa anapata faida aliyoipata kwa miaka 21 kupitia CHADEMA ..??

2. Kwa nchi, kumbuka bado "mabeberu" yanatukopesha na zaidi 40% ya bajeti ya nchi inawategemea mabeberu wa Ulaya na Amerika. Au hujui hili..?
 
Chawa wa mbowe wanamshukuru lisu kwa kumpiga Mbowe pressure hadi sasa wanakula pesa zote za mbowe alizoiba chadema
 
Wewe mwenyewe juha mbumbu ujinga umeujulia wapi? Endelea kuvuta bangi na kujidanganya una Akili wakiti ni zuzu mla pesa za wizi toka kwa mbowe
Ahahahahaha! Afadhali nakula na kunywa pesa za Mbowe na watoto wanakula na kusoma. Wewe kwa Lissu utambulia miropoko tu halafu nyumbani kwako watoto wanalala njaa! Nyambafu!!!
 
Ahahahahaha! Afadhali nakula na kunywa pesa za Mbowe na watoto wanakula na kusoma. Wewe kwa Lissu utambulia miropoko tu halafu nyumbani kwako watoto wanalala njaa! Nyambafu!!!
Mie nimeshiba sina njaa kama wewe tegemezi wa mbowe mvuta bangi, unaishi kwa fursa sasa uchaguzi ukiisha utakula nini? Mbowe atakuoa? au utarudia kazi yako ya wizi kama Mbowe masimango
 
Yeye alipinga shutuma za rushwa zinazomuhusu yeye na Abdul kwa madai Lissu hana ushahidi.

Kwenye madai yake kuhusu kumkopesha Lissu ushahidi wake ni upi?
Wenje ni looser nenda kwao Michire ufahamu vyema
 
Back
Top Bottom