Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai

Source: One on One tv

Baadae Mlale unono ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
Yohana Mbatizaji si umchangie hata buku? Kumbuka Lissu ni mate wako baka na dei! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Chawa wa mbowe wao wamekariri ukweli wa kambi za lisu ni uropokaji wamesahau kuwa Taarabu mipasho masimango ya mbowe ndiyo uropokaji huo
 
Mshaambiwa mitusi na uropokaji haiwaongezei kura.
Mitusi uropokaji upo kwa Dalali wenje na mbowe masimango kwani sasa hawana jipya wamebakia kulakama tu huku nyinyi chawa wao mnaendelea kula pesa zao kama mchwa na hamuwasaidii kitu
 
Una mkataba wa makabidhiano?
Wenje na mbowe ni kawaida yao kutengeneza madeni hewa hata Mbowe katengeneza madeni Hewa kibao kwa chama akajilipa kienyeji kwa njia haramu ni wizi wa Hazina ya chama
 
Uyo dula aliwapata wote, kwani lisu sindio alimpa documents!!, alikuwa anajua anampanani na kwadhumunigani ikiwa huyo abduli hana nafasi yoyote serikalini.

Lisu nimwanasheria, kwanini aliamua kufanya mambo kienyeji, amandio ujanjaujanja wenyewe.

Alimpa kama nani?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Umekula pesa za mbowe mpaka umevimbiwa unajiandia chochote kumfurahisha Dalali wenje ebu acheni kujitoa fahamu kwani kama wenje asingekwenda kwa lisu hii story yako ingekuwepo? Mbona Lisu hajaenda nyumbani kwa wenje kisha amfatefate kwa maneno? Wenje ni mchawi ni shetani kamfuata Lisu kwake kumchokoza na bado anaendelea kumtengenezea madeni hewa
 
Huu ni mpumbavu. Inaonekana Jamaa wa timu Mbowe wamepaniki vibaya sana. Mipango waliyopanga gizani ilivyowekwa hadharani tu, wakaanza kuchanganyikiwa. Sass hivi wamekuwa kama wachawi ambao uchawi wao umegundulika, hivyo wamepata ukichaa wa muda.
Shida kubwa kwa Timu mbowe ni washauri wake, Mbowe kazungukwa na wavuta bangi Tupu wakiongozwa na Sugu Boniface mdee na wenzao inategemeana Mbowe awe na mpya hapo?
 
Swali la kipumbavu! Kama aliyesema alimkopesha Lissu kasema uongo na Lissu ni Wakili si ampeleke mahakamani? Jitu jinga eti linaniuliza, "una mkataba wa makabidhiano?"
Wewe ndiyo jitu jinga mda huu ni wa kwenda mahakamani? Lisu yupo busy na kampeni madeni yenu hewa mtabakia nayo huko gheto mnaposhinda mkivuta bangi na kula pesa za mbowe bure kwa kumdanganya mnamtetea mitandaoni
 
Yohana Mbatizaji si umchangie hata buku? Kumbuka Lissu ni mate wako baka na dei! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Lisu hana Njaa

Angesema aidai Chadema hela za KESI alizosimamia Saccos ya Tuntemeke Sanga ingefirisika

Ile KESI ya Bulaya na Tyson pekee na Lisu akashinda inatosha kulipa madeni yote hadi Nyumba ya Bunge pale Dodoma ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai

Source: Wasafi tv

Baadae Mlale unono ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
Sio kwamba Dulla ndo alkupa ulete Kwa TAL?
 
Back
Top Bottom