Mbowe kazoea kuwabambikia madeni hewa chadema kisha kujilipa kienyeji ikiwa ni njia ya kutakatisha pesa alizoiba hazina ya chadema, Sasa fikiria hao vichwa viwili vibovu wenje na mbowe wapewe uongozi watamaliza pesa za chama kwa madeni hewaLisu hana Njaa
Angesema aidai Chadema hela za KESI alizosimamia Saccos ya Tuntemeke Sanga ingefirisika
Ile KESI ya Bulaya na Tyson pekee na Lisu akashinda inatosha kulipa madeni yote hadi Nyumba ya Bunge pale Dodoma ππ
Anakula kwako? hata wewe unaishi gheto kwa wenje huna kazi zaidi ya kuvuta bangi na kula pesa za mbowe kwa visingizio kuwa unatetea madhaifu yake mitandaoniHuko Belgium,familia imepanga,watoto wanasoma, baba hana kazi
Baada ya mbowe kuiba pesa zote ofisiniGari tulimnunulia
Slaa hakutumia akili unaropoka vipi jadi unakiri umefanya jinai tena dhidi ya raisi? Bado tuna safari ndefu sana kwenye elimu au sijui mazingira yetu yanatufanya tuwe watu wa hovyo pamoja na mavyeti yetu ya shuleMbowe katengeneza mazingira slaa akatwe kipindi hiki ili apate kuihujumu kambi ya lisu kiwepesi
Wenjeee nayeeee mbona kama sio mwanaume huu ni ujinga gan? Kwan kukopeshana si mambo binafsi? Kwa nn uyalete huku??Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai
Source: Wasafi tv
Baadae Mlale unono ππ₯
Izingatiwe hiyo, apige kura apate kulipwaAtamlipa akishakuwa mwenyekiti, ahakikishe tu anampa kura yake.
Bahati mbaya sana huwa sijibu hoja za kijinga.Wewe ndiyo jitu jinga mda huu ni wa kwenda mahakamani? Lisu yupo busy na kampeni madeni yenu hewa mtabakia nayo huko gheto mnaposhinda mkivuta bangi na kula pesa za mbowe bure kwa kumdanganya mnamtetea mitandaoni
Kwanini sasa Lissu ni Bingwa wa kuombaomba?Lisu hana Njaa
Angesema aidai Chadema hela za KESI alizosimamia Saccos ya Tuntemeke Sanga ingefirisika
Ile KESI ya Bulaya na Tyson pekee na Lisu akashinda inatosha kulipa madeni yote hadi Nyumba ya Bunge pale Dodoma ππ
1. Chama chenu (CHADEMA) kitaendelea kukopa kwa Freeman Mbowe kwa riba kubwa....Tumkimpa chama au nchi itakuwaje ?.
Wewe huna akili timamuSwali la kipumbavu! Kama aliyesema alimkopesha Lissu kasema uongo na Lissu ni Wakili si ampeleke mahakamani? Jitu jinga eti linaniuliza, "una mkataba wa makabidhiano?"
Wewe mwenyewe juha mbumbu ujinga umeujulia wapi? Endelea kuvuta bangi na kujidanganya una Akili wakiti ni zuzu mla pesa za wizi toka kwa mboweBahati mbaya sana huwa sijibu hoja za kijinga.
Hapo bado hamjatumia policcm, bado wasimamizi wakurugenzi hawajafanya yao. Bado hamjaengua wapinzani duh! Mnaweza shinda 120%Sidhani kama Chadema mtapata hata Mbunge mmoja π
Ahahahahaha! Afadhali nakula na kunywa pesa za Mbowe na watoto wanakula na kusoma. Wewe kwa Lissu utambulia miropoko tu halafu nyumbani kwako watoto wanalala njaa! Nyambafu!!!Wewe mwenyewe juha mbumbu ujinga umeujulia wapi? Endelea kuvuta bangi na kujidanganya una Akili wakiti ni zuzu mla pesa za wizi toka kwa mbowe
SAWA ninyi rekodini kila kitu, hata uongo.Sisi CCM tunarekodi kila sentenso π
Mie nimeshiba sina njaa kama wewe tegemezi wa mbowe mvuta bangi, unaishi kwa fursa sasa uchaguzi ukiisha utakula nini? Mbowe atakuoa? au utarudia kazi yako ya wizi kama Mbowe masimangoAhahahahaha! Afadhali nakula na kunywa pesa za Mbowe na watoto wanakula na kusoma. Wewe kwa Lissu utambulia miropoko tu halafu nyumbani kwako watoto wanalala njaa! Nyambafu!!!
Warekodi Rushwa ya ngono afanyayo Mbowe kwa viti maalumSAWA ninyi rekodini kila kitu, hata uongo.
Wenje ni looser nenda kwao Michire ufahamu vyemaYeye alipinga shutuma za rushwa zinazomuhusu yeye na Abdul kwa madai Lissu hana ushahidi.
Kwenye madai yake kuhusu kumkopesha Lissu ushahidi wake ni upi?