Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Mbowe katumia fedha zake kuendesha chama na biashara zake nyingi kufungwa mpiga kelele mwehu lisu yeye hadi nyumba ya kuishi alipewa na mbowe bado ametapeli watu kibao, mmojawapo ni rafiki yangu yupo marekani
 
Mitusi uropokaji upo kwa Dalali wenje na mbowe masimango kwani sasa hawana jipya wamebakia kulakama tu huku nyinyi chawa wao mnaendelea kula pesa zao kama mchwa na hamuwasaidii kitu
Ndo mtajua chawa wananyonyq damu au maji baada ya tarehe 21
 
Mie nimeshiba sina njaa kama wewe tegemezi wa mbowe mvuta bangi, unaishi kwa fursa sasa uchaguzi ukiisha utakula nini? Mbowe atakuoa? au utarudia kazi yako ya wizi kama Mbowe masimango
Mimi ni Mwana CCM na MTUMISHI wa Serikali nipo hapa Jijini Mwanza, dogo. Sio mwanasiasa na sitegemei wanasiasa zaidi ya stahili ninazopata kazini na za kujiajiri. Ila hayo hayanizuii kuzijua siasa za nchi hii na wanaoitakia mema nchi mfano Mbowe na wanaoitakia mabaya nchi hii mfano Lissu.
 
Yani Watu kama Kina Wenje ndio kuwa top decision maker wa Taasisi ni mambo ya Aibu kabisa, Mbona uwezo wao upo Chini sana wanashindwa ata Kupima mambo ya kuzungumza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…