brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 549
- 674
Mbowe katumia fedha zake kuendesha chama na biashara zake nyingi kufungwa mpiga kelele mwehu lisu yeye hadi nyumba ya kuishi alipewa na mbowe bado ametapeli watu kibao, mmojawapo ni rafiki yangu yupo marekaniKwani Mbowe Alivyotajwa na makonda kwenye list ya wauza unga alikuwa muuza unga? Wenje ni Dalali kama wewe ukivyokuwa Dalali wa madeni hewa na ulishiriki kumshambulia Lisu kwa kumtengenezea madeni hewa Kama yale mbowe huyatumia kujilipa pesa ya chama kienyeji, mmezoea kutengeneza madeni hewa hakuna asiyewajua