Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Kama zwazwa ilikuwaje mlimkabidhi kuwa kiongozi wenu wa Kanda? Je kuna mazwazwa wangapi huko Chadema waliobaki ili tuwajue mapema.Wewe ndiyo ujitafakari sana kwani huko ccm wataacha kukulipa posho kwa utetezi usiokuwa na maana, Wenje akiwa chadema tayari alikuwa ni mtu asiyeaminika baada ya kumpelekea pesa Lisu nyumbani kwake akiwa na Abdul, hivyo Tambua kuwa Wenje akiwa chadema hana Akili ni zwazwa na wenje akiwa ccm ni zwazwa zaidi, kokote atapokuwa Wenje hatakaa aheshimike tena, Dunia yote inajua Wenje ni Juha zuzu wa kutupwa
Sawa chawa unayeongozwa na mwenyekt kilaz.aa!.Ingia barabarani uandamane muda wa kujaza comments mitandaoni umeisha
Sasa umeishatoka, kinachokuwasha, katikati kwako ni nini?Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli
"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje
Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria ambaye kwa sasa amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 ITV ameeleza namna uongozi wa CHADEMA haupendi kukosolewa wala kuambiwa ukweli
"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje
Soma pia GE2025 - Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika
Nyumbu ni ccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama ccm miaka 65 Nchi haina maendeleo lakini chawa bado wanaimba zidumu fikra za mwenyekiti wa ccmNdo maana wanaitwa Nyumbu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo wakiambiwa kitu wanakubali bila kufikiri, ndo sifa ya Nyumbu ilivyo
Hana kabsa zaidi ya kula pesa za ccm kisha kuongea ujingaWenje ana mchango gani katika taifa
CCM wamepata kondomu nyingineI can bet, Wenje kesho akisema amerudi Chadema. Kesho hiyohiyo mnamrudishia akili zake. Kwakweli vijana wa Chadema mjitafakari. Ingetokea nyie kuchukua nchi ndiyo mngekuwa vijana wa hovyo kupita maelezo.
Nyumbu ni ccm hata kukubali kutapeliwa pesa na Wenje ni Unyumbu mkubwa, wenje ni mwizi ni mnafiki kukubali kuwa nae pamoja ni unyumbuHv unafahamu mwenyekt wako wa chama mgombea pekee anayechuana na kivuli chake matokeo ya form 4 alipata sifuri?!.
Kwa kinywa chake mwenyewe alitumegea wanae siri....sasa jiulize nani nyumbu kati ya anayeongozwa na product ya Illboru special school (Lissu) na huyo kilaza.a wenu asiyejua masuala yoyote si kiuchumi si kisheria hadi asubiri 'kuambiwa'?!.
Wenje hakuwa akiheshimika chadema kwani anajulikana kwa Tabia za hovyo na zwazwa mwenzake ni yule mzee wa kule bomang’ombe aliyeshiriki kuuza watu kwenda Chaumaccm, zwazwa wengi unao huko ccm Nchi ina miaka 65 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko japan na mataifa ya ulayaKama zwazwa ilikuwaje mlimkabidhi kuwa kiongozi wenu wa Kanda? Je kuna mazwazwa wangapi huko Chadema waliobaki ili tuwajue mapema.
Akirudi Chadema anakuwa asali. Hapo ndipo napowapendea nyumbu wa ChademaCCM wamepata kondomu nyingine
Kwanini asiongelee sera za chama chake kipya yeye majukwaani CDM mahojiano ni chama chake cha zamani wakati ameshatoka huko ajikite kuelezea chama chake kipya cha kale atemane nacho kiwe NGO kinamuuma kitu gani ? Maana anatuhuma nzito za kupewa mlungula toka enzi mbunge mpka hivi juzi kati
Nyumbu ni ccm endelea kujipenda mwenyewe kwani wenje tokea akiwa chadema alishakataliwa na hata akirejea atakuwa mpweke baki nae huko wewe nyumbu wa ccmKama zwazwa ilikuwaje mlimkabidhi kuwa kiongozi wenu wa Kanda? Je kuna mazwazwa wangapi huko Chadema waliobaki ili