Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Kama zwazwa ilikuwaje mlimkabidhi kuwa kiongozi wenu wa Kanda? Je kuna mazwazwa wangapi huko Chadema waliobaki ili tuwajue mapema.Wewe ndiyo ujitafakari sana kwani huko ccm wataacha kukulipa posho kwa utetezi usiokuwa na maana, Wenje akiwa chadema tayari alikuwa ni mtu asiyeaminika baada ya kumpelekea pesa Lisu nyumbani kwake akiwa na Abdul, hivyo Tambua kuwa Wenje akiwa chadema hana Akili ni zwazwa na wenje akiwa ccm ni zwazwa zaidi, kokote atapokuwa Wenje hatakaa aheshimike tena, Dunia yote inajua Wenje ni Juha zuzu wa kutupwa