T Tozo Senior Member Joined Aug 23, 2021 Posts 101 Reaction score 202 Dec 31, 2024 #1 Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
T T2020 Senior Member Joined Jul 15, 2020 Posts 158 Reaction score 361 Dec 31, 2024 #2 Mbowe aliwaarika Moshi kwenye Harambe ya ujenzi wa kanisa la KKKKT Moshi Mde na Swahiba wake.
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 2,912 Reaction score 12,904 Dec 31, 2024 #3 T2020 said: Mbowe aliwaarika Moshi kwenye Harambe ya ujenzi wa kanisa la KKKKT Moshi Mde na Swahiba wake. Click to expand... Aliwaalika na siyo aliwaarika. Usiharibu lugha adhimu ya Kiswahili
T2020 said: Mbowe aliwaarika Moshi kwenye Harambe ya ujenzi wa kanisa la KKKKT Moshi Mde na Swahiba wake. Click to expand... Aliwaalika na siyo aliwaarika. Usiharibu lugha adhimu ya Kiswahili
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 1, 2025 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw