avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Jan 21, 2024 #41 Hizi timu za kiislamu wote wako huku na kule kuanzia viongozi ,wasemaji na hata wanachama Wana jezi mbilimbili nyekundu na kijani wanaangalia tuu upepo uko wapi wanadondokea huko. Kesho manara anavaa nyekundu na anapokelewa kwa shangwe
Hizi timu za kiislamu wote wako huku na kule kuanzia viongozi ,wasemaji na hata wanachama Wana jezi mbilimbili nyekundu na kijani wanaangalia tuu upepo uko wapi wanadondokea huko. Kesho manara anavaa nyekundu na anapokelewa kwa shangwe
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 21, 2024 #42 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw