Wenye akili timamu tujadiri hili, yanayoendea simba na yanga ni utani au chuki?

Wenye akili timamu tujadiri hili, yanayoendea simba na yanga ni utani au chuki?

Rudi kwenye thread yangu uelewe nilichoandika na nini maudhui yake.
Kama umeenda shule japo std 7,utaelewa kuwa mifano huwa michache sana na ikibidi mmoja tu kama wanafunzi ni waelewa.
Sikuwa na haja na wengine.
Huna unalojua unaleta ushabiki kwa kumsema Genta wakati wapo wengi kama ungekuwa na busara ungewataja wote wakati wapo wengi
Maudhui yameshaharibika kwakuwa umefanya bias ya wazi watu hatuwezi kukuelewa
 
Hapo ndipo ulipofikia ufahamu,na uelewa wako.
Kama vile ww akili yako ilivyokuwa ndogo unaanza kusema watu bila kuwa na ushahidi
Yaan unaandika kitu unaleta bias kIbao hivi unadhani nani atakuelewa kama ww ungekuwa na akili usingefanya bias
 
Kwakweli hii nchi kuna tatizo mahala. Simba wameiheshimisha hii nchi kwa misimu 4 lakini Yanga hawajawahi kuipongeza Simba hata indirectly tu.Unadhani huo ni uungwana?

Nilifarijika sana pale Mo Dewji alipowapongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa NBCL musimu wa 2021/22 pamoja kumtukana kote kule,plus wao kutoipongeza Simba kwa misimu yote 4. Watu wa aina ya Mo ni wachache sana kwenye soka letu shithole.
Umesoma vizuri Nada au unaropoka tu?
 
That's why kabla hujaandika kitu fanya kwanza utafiti angefanya utafiti angejua maana jambo linaonekana wazi kabisa kama unaingia mara kwa mara Forum lazima ungejua tu na kama haingii angetulia kabla ya kuja na hitimisho kitendo cha kumtaja mtu mmoja wakati wapo wengi huo ndio ushabiki wenyewe
Kwanini asifanye utafiti wakuwajua hao watu kuliko kumtaja mtu mmoja peke yake huoni hapo tayari kama kashamuharibia peke yake?
Jukwaa limevamiwa na vijana wenye uwezo wa kuimba bongo fleva,
 
Sidhani kama mashabiki wanaweza kumtukana senzo au kiongozi mwingine wa yanga kama anavyotukanwa Manara.

Hiyo ni kwasababu ya yeye alivyo, ana matusi ndio maana wanamtukana pia.
Ajiheshimu ili aheshimiwe, asitumie ulemavu wake kama kinga kwa kutukana wengine.

Majina mengi ya hovyo ya timu pinzani kayaanzisha yeye, kutukana mtandaoni kuattack mtu mmoja mmoja na sometimes bila hao watu kumjibu.

Mi nadhani Haji aachwe nature imtetee ama lah ajitetee mwenyewe tu.
Hatujui maneno aliyozungumza lakini kwa hulka yake ni ngumu kuamini kama hakutoa maneno ya kashfa, kejeli au matusi kabisa.
 
Kama vile ww akili yako ilivyokuwa ndogo unaanza kusema watu bila kuwa na ushahidi
Yaan unaandika kitu unaleta bias kIbao hivi unadhani nani atakuelewa kama ww ungekuwa na akili usingefanya bias
Naogopa kufanana na wewe,endelea na uelewa ulionao
 
Jukwaa limevamiwa na vijana wenye uwezo wa kuimba bongo fleva,
Huna unalojua kama ungekuwa na akili usingefanya bias ya wazi unaona madhara yake hata wakati tunajifunza research sababu moja inayo hinder research ni bias kama ulivyofanya ww
 
Naogopa kufanana na wewe,endelea na uelewa ulionao
Huwezi kufanana na mm kwakuwa mm siwezi kuwa sina busara ungekuwa na akili usingefanya upendeleo wa wazi kabisa kwa kumtaja mtu mmoja na kuacha wengine yaan uzi wako ungekuwa bora ila ulipofanya upendeleo nikajua kuwa hata ww ndio wale wale tu ila umekuja kwa style nuingne huna tofauti na hao unaowasema
 
Kila la kheri timu ya Soka la Taifa la Somalia kwenye mechi yake ya leo na KARIA FC!
 
Namna ya kifo cha wengi ni harusi.Unanifatafata Sana,sikuogopi huna cha kunifanya ,naweza kukufanya lolote.Je hii katika SOKA ina hatari gani? Kupiga kampeni dhidi ya Karia akaondoka tff ina ubaya gani? Kama Haji alimaanisha kugombea na kumshinda Karia, Ina ubaya gani? Kama ilitafsiriwa kijinai,je,kumfungia Haji ndo Karia atakuwa salama? Kama vipi liende kwenye mahakama za kiraia kama lile Barbara.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Nchi yeyote ile imeweka sheria ya criminal threats, na record zinaonesha watu wengi wameenda jela kwa kutishia tu

Manara aliwahi kumtishia mwandishi wa habari wa cluds Prisca Kishamba na Chama cha wahariri Tanzania kilijitokeza na kukemea tabia hiyo.

Hawakutaka tu kufika mbali prolly kwasababu ya huruma zao au pengine ni mtu ambaye alikuwa kwa namna moja alikuwa ana mchango kwa nafasi zao

Mienendo ya Manara ya nidhamu mbaya kwa umma au kwa watu wengine haijaanza leo.

Kama utakumbuka huyu aliwahi waita waandishi wote ni takataka. Hayo aliyafanya huko kwenye whatsapp na hakuwahi kutoka kuomba radhi zaidi aliongeza kebei kwa kuendelea kupost dustbin.

Kama hayo yote aliyoyafanya Manara bado hujaona tatizo kwanini usichukulie na adhabu aliyopewa katika kipimo hicho hicho kuwa hakuna tatizo?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Unaweza kunitafutia Uzi alipofungiwa Shafii Dauda uone tuliongea nini?
Uzi upo ila hukuongea chochote

Yani kimsingi hukuwa na time hata ya kuweka comments

Halafu angalia humu wanomtetea Manara kuwa ana familia inamtegemea TFF haijafanya fair walivyokuwa wakifurahia hukumu ya shafii dauda

 
  • Thanks
Reactions: Cyb
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi MSOSA KAMA MSOSA TREBLE Byuti Byuti 🏆🏆🏆
Kiufupi saizi amembwera na anataka kuleta ucheshi wakishamba kuwaaminisha wajinga wajue hapitii kipindi kigumu
 
Uwingi wa kilo ni ulemavu? Watu wengine bhana!
Kama hujaelewa kaa kimya, wengine walioelewa wachangie.
UKIMYA NAO NI BUSARA
Lugha iliyotumika hapo sio wingi ni dhihaka

Mimi na wewe wote tunajua mwakalebela hana kilo 800

Ukilipitisha hilo liwe halali, mtu mwingine ataweza sema race yake na ukakosa justification ya kumtia hatiani kwasababu naye atakuwa na hoja kama yako akikuuliza kwani uongo sio albino

Haya mbana pua naye vipi?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Jambo ninalojiuliza mara nyingi Haji amekua akiwakashifu wenzake tena kqa majina ya kudhalilisha ila kwanini akiguswa yeye anataka huruma..! Inapaswa awaheshimu wengine ili na yeye aheahimiwe
 
Hapo ndio tatizo la wadau wengi napoliona

Kilichotokea juzi ni matokeo ya matukio mengi ambayo aliyafanya na mkayayamazia kimya

Kama unaona ameonewa kwasababu kapigwa faini ebu jaribu kufikiria yule aliyefungiwa miaka mitano kwa kupost tangazo la TFF

Huyo unayemtetea kuwa ana familia inayomtegemea kumbuka ndio huyo huyo alikuwa akimshinikiza majizo amfukuze kazi Jemedari Saidi bila kujari familia yake itakula wapi
Tatizo la Tanzania unafki huyo huyo haji alipofungiwa Madega alifurahi na wengine..

NB:Haji amegundua watanzania wengi mazwazwa hivyo anatumia ulemavu wake vibaya kudhihaki wengine ili akiguswa yeye aseme kisa ngozi yake.
 
Huna unalojua kama ungekuwa na akili usingefanya bias ya wazi unaona madhara yake hata wakati tunajifunza research sababu moja inayo hinder research ni bias kama ulivyofanya ww
Unafahamu maana ya bias?
Jadiri hoja suala la bias linaingiajea hapo? Unataka niorodheshe majina kwani hoja yangu ni kujadiri watu? Genta ni mfano,au huekewi neno kwa mfano?
 
Back
Top Bottom