Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Huna unalojua unaleta ushabiki kwa kumsema Genta wakati wapo wengi kama ungekuwa na busara ungewataja wote wakati wapo wengiRudi kwenye thread yangu uelewe nilichoandika na nini maudhui yake.
Kama umeenda shule japo std 7,utaelewa kuwa mifano huwa michache sana na ikibidi mmoja tu kama wanafunzi ni waelewa.
Sikuwa na haja na wengine.
Maudhui yameshaharibika kwakuwa umefanya bias ya wazi watu hatuwezi kukuelewa