Wenye akili tu ndio tumeelewa ni kwanini Rais Samia kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi

Ulisusa uzi habari ya kutunga ndio imekuleta eti,,😂😅.

na uzi wako ume edit,,neno,"Simba hawawezi kupata hata goli",, umeondoa😂😅
 
Na ni kweli awajaambulia ata 100 mbovu, Msigwa kasema goli la mama ni Kama timu imeshinda Kama imepasuliwa vipande No money!!!!
 
Unazungumzia milioni 10 kwenye Bilioni 2.5, mbona kama una kichaa vile?
 
SIMBA WANA

BILIONI 5.5 super league maandalizi
BILIONI 2.5 Kufungwa na Alhaly.

SIMBA ANA BILIONI 8
BILIONI NANE.
 
Kuna shule zimekosa bati hio milion 20 angenunua bati elf moja kuwasaidia wanaosoma mbali
 
Kuna shule zimekosa bati hio milion 20 angenunua bati elf moja kuwasaidia wanaosoma mbali
Wale madogo mnaowabandua na kuwapiga mimba amewaruhusu wakishazaa warudi shule huo ni msaada tosha kuliko bati endeleeni kuwapiga mimba,
 
UKIONA Uzi kama huu ndio unazidi ku prove kuwa WENYE nazo ni wawili.

Haji manara atajengewa sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…