Wenye akili tu ndio tumeelewa ni kwanini Rais Samia kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi

Wenye akili tu ndio tumeelewa ni kwanini Rais Samia kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi

Simba wakosa Million za mama !

"Leo hatutatoa pesa. Masharti ya mama Rais Samia Suluhu ni million (10) kwa kila goli iwapo Simba atashinda mechi."

"Simba hajashinda hivyo hatutatoa pesa hiyo kwa leo. Tunaamini watajipanga watashinda Misri [emoji1093]. Million 10 kila goli iko palepale"

[emoji2399] Gerson Msigwa

Katibu Mkuu wa wizara ya Ya Umaduni, Sanaa na michezo Via Mpenja TV [emoji342]
Ulisusa uzi habari ya kutunga ndio imekuleta eti,,😂😅.

na uzi wako ume edit,,neno,"Simba hawawezi kupata hata goli",, umeondoa😂😅
 
Weka screen shot [emoji41]
Hii hapa👇,,,😂😂

images (3).jpeg
 
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70"

Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.

Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.

Endeleeni kuzipigia hesabu pesa ambazo hazipo mkononi mwenu na njia ya kuzichukua ni ngumu sana.
Na ni kweli awajaambulia ata 100 mbovu, Msigwa kasema goli la mama ni Kama timu imeshinda Kama imepasuliwa vipande No money!!!!
 
Simba wakosa Million za mama !

"Leo hatutatoa pesa. Masharti ya mama Rais Samia Suluhu ni million (10) kwa kila goli iwapo Simba atashinda mechi."

"Simba hajashinda hivyo hatutatoa pesa hiyo kwa leo. Tunaamini watajipanga watashinda Misri [emoji1093]. Million 10 kila goli iko palepale"

[emoji2399] Gerson Msigwa

Katibu Mkuu wa wizara ya Ya Umaduni, Sanaa na michezo Via Mpenja TV [emoji342]
Unazungumzia milioni 10 kwenye Bilioni 2.5, mbona kama una kichaa vile?
 
SIMBA WANA

BILIONI 5.5 super league maandalizi
BILIONI 2.5 Kufungwa na Alhaly.

SIMBA ANA BILIONI 8
BILIONI NANE.
 
Kuna shule zimekosa bati hio milion 20 angenunua bati elf moja kuwasaidia wanaosoma mbali
 
Kuna shule zimekosa bati hio milion 20 angenunua bati elf moja kuwasaidia wanaosoma mbali
Wale madogo mnaowabandua na kuwapiga mimba amewaruhusu wakishazaa warudi shule huo ni msaada tosha kuliko bati endeleeni kuwapiga mimba,
 
UKIONA Uzi kama huu ndio unazidi ku prove kuwa WENYE nazo ni wawili.

Haji manara atajengewa sanamu
 
Back
Top Bottom