MOREMI2006
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 551
- 548
"Hivi unajua mamlaka ya mheshimiwa rais au unaropoka tu"kaa kimya mdomo ukusaidie kula tuBibi anamatumizi mabaya ya fedha za serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Hivi unajua mamlaka ya mheshimiwa rais au unaropoka tu"kaa kimya mdomo ukusaidie kula tuBibi anamatumizi mabaya ya fedha za serikali
Ulisusa uzi habari ya kutunga ndio imekuleta eti,,😂😅.Simba wakosa Million za mama !
"Leo hatutatoa pesa. Masharti ya mama Rais Samia Suluhu ni million (10) kwa kila goli iwapo Simba atashinda mechi."
"Simba hajashinda hivyo hatutatoa pesa hiyo kwa leo. Tunaamini watajipanga watashinda Misri [emoji1093]. Million 10 kila goli iko palepale"
[emoji2399] Gerson Msigwa
Katibu Mkuu wa wizara ya Ya Umaduni, Sanaa na michezo Via Mpenja TV [emoji342]
Weka screen shot [emoji41]Ulisusa uzi habari ya kutunga ndio imekuleta eti,,[emoji23][emoji28].
na uzi wako ume edit,,neno,"Simba hawawezi kupata hata goli",, umeondoa[emoji23][emoji28]
Na ni kweli awajaambulia ata 100 mbovu, Msigwa kasema goli la mama ni Kama timu imeshinda Kama imepasuliwa vipande No money!!!!Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70"
Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA tumeshaelewa kuwa mama ni akili kubwa "she is a genius" and she knows everything about football.
Anajua kabisa Simba hawawezi na hawana uwezo wa kuchukua hata mia yake mbovu , maana hawawezi kuifunga Al ahly.
Endeleeni kuzipigia hesabu pesa ambazo hazipo mkononi mwenu na njia ya kuzichukua ni ngumu sana.
WALIPOONA GOLI MBILI WALISHANGILIA SANA.Na ni kweli awajaambulia ata 100 mbovu, Msigwa kasema goli la mama ni Kama timu imeshinda Kama imepasuliwa vipande No money!!!!
Unazungumzia milioni 10 kwenye Bilioni 2.5, mbona kama una kichaa vile?Simba wakosa Million za mama !
"Leo hatutatoa pesa. Masharti ya mama Rais Samia Suluhu ni million (10) kwa kila goli iwapo Simba atashinda mechi."
"Simba hajashinda hivyo hatutatoa pesa hiyo kwa leo. Tunaamini watajipanga watashinda Misri [emoji1093]. Million 10 kila goli iko palepale"
[emoji2399] Gerson Msigwa
Katibu Mkuu wa wizara ya Ya Umaduni, Sanaa na michezo Via Mpenja TV [emoji342]
UNATAKA KUSEMA KUWA WAKIPEWA HIYO 10 MILLIONS HAWATACHUKUA?Unazungumzia milioni 10 kwenye Bilioni 2.5, mbona kama una kichaa vile?
Watapeleka vituo vya kulelea wategemeziUNATAKA KUSEMA KUWA WAKIPEWA HIYO 10 MILLIONS HAWATACHUKUA?
Mjomba ningependa kuijua jinsia yako au wewe ni hemophilia?yaan wewe kweri thio mzarendo,
unaizarao thimbwaa kweri?
hau hunafanya kuthudi....
Wale madogo mnaowabandua na kuwapiga mimba amewaruhusu wakishazaa warudi shule huo ni msaada tosha kuliko bati endeleeni kuwapiga mimba,Kuna shule zimekosa bati hio milion 20 angenunua bati elf moja kuwasaidia wanaosoma mbali
Ni undadogi exthiiiMjomba ningependa kuijua jinsia yako au wewe ni hemophilia?
Milioni 20 zishatembea kenge weeeeKOLO WIZARD ULIPOTEA SANA
WEWE UPO DUNIA YA WAPI ??Milioni 20 zishatembea kenge weeee
LABDA KAMA MILION 20 ALITOA SAMIA WA MICHONGOMilioni 20 zishatembea kenge weeee