Wenye akili waliobaki Tanzania ni wasiyojihusisha na siasa au dini

Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
Mkuu, usiwe mkali kwao kwani wale ni njaa tu inayowasumbua na kukosa maarifa ya kuishi bila kurogana.
 
Mkikosa vya kuandika kaeni kimya kuficha upumbavu wenu
Huu upumbavu wako wewe kwanini hukuuficha au umeshajiona wewe ni special humu jf na jf ni yako?umeshavimba kichwa uwe admin sasa kwakuwa maadmin hawajauona upumbavu wangu
 
Hakuna upuuzi mkubwa kama huo sasa

Upuuzi wa kujiona una akili na upumbavu wako kuwa jf ndiyo mkubwa kuliko wote duniani,akili haipimwi hivyo

"Akili ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo."
 
Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
'Wote ' is too big a word.
Labda useme wengi
 
Huu upumbavu wako wewe kwanini hukuuficha au umeshajiona wewe ni special humu jf na jf ni yako?umeshavimba kichwa uwe admin sasa kwakuwa maadmin hawajauona upumbavu wangu
wewe ni special humu jf na jf ni yako?😁😁😁
Fear of the unknown! Take it or leave it..!
 
Hakuna upuuzi mkubwa kama huo sasa
Hakuna upuuzi mkubwa kama huo sasa

Upuuzi wa kujiona una akili na upumbavu wako kuwa jf ndiyo mkubwa kuliko wote duniani,akili haipimwi hivyo

"Akili ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo."
 
Hakuna upuuzi mkubwa kama huo sasa

Upuuzi wa kujiona una akili na upumbavu wako kuwa jf ndiyo mkubwa kuliko wote duniani,akili haipimwi hivyo

"Akili ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo."
Matumizi ya ID bandia ni kwa ajili ya privacy na sio kuwa na akili mbili ndani na nje yaJF huo ni upuuzi
 
Mkikosa vya kuandika kaeni kimya kuficha upumbavu wenu
Drop that egoism and arrogance unaweza kuona upo sawa kumbe ni cowardice HE IS 🀣 RIGHT πŸ’―β™€οΈ
 
Uliyeandika upo very πŸ€“ SMART.Waepuke sana hizi archonics systems maana wanapotea na kupoteza muda
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli hata mjinga anazeeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…