AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
Una hoja ya msingi ila Kuna vitu vya kudecernSiasa sio mbaya sana ila dini kuna watu wanazitumia vibaya. kuna mama nipo nae hapa napoishi yani mpaka akiona Jongoo anakemea, Mende anakemea, hapatani na watu wengi sana.
Ukimpinga kwa chochote anakuita Mtesi, na ikifika usiku anakuweka kwenye maombi ya "vita" yeye anasema (ana kupelekea moto)
hapo hakutafuti wewe anatafuta kilichopo ndani yako..yaani kiufupi anahsi wewe, jogoo na mende mnamuhifadhi adui yake anajua wote nyie ni mashetani.. ...hahahaha! Tutafika tumechoka.Siasa sio mbaya sana ila dini kuna watu wanazitumia vibaya. kuna mama nipo nae hapa napoishi yani mpaka akiona Jongoo anakemea, Mende anakemea, hapatani na watu wengi sana.
Ukimpinga kwa chochote anakuita Mtesi, na ikifika usiku anakuweka kwenye maombi ya "vita" yeye anasema (ana kupelekea moto)
siasa huwa ni tamu pale hoja zinapoibuliwa na zinajibiwa vizuri na wananchi wanakubaliana nazo na utekelezaji unaonekana na taifa linasonga mbele kwa kasi nasio mwendo wa kombe na wananchi wanafurahia matunda ya nchi yao pila mgawanyo... kinyume chake ni mazingaombe tu...Dini inakujenga kiroho na kukuepusha kutenda mambo maovu yatakayopelekea kumuudhi muumba wako ili usipate adhabu yake kali..Dini ikiegemea kwenye kukubali maovu hapo ni mazingaombwe tu..kwahyo mtoa mada unaweza ukawa sahih kama hayo mambo huyaoni kwa upande wako...Mimi nasema hv..Kwasasa KATAA SIASA, SIASA NI UTAPELI WA KIMAWAZO, TANZANIA BILA SIASA ITABAKI NGANGARI.Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
Umesahau na usimba na uyangaWooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
Mimi naimani mpo mnaonielewa na ktk siasa na dini wenye akili tuko neutral.Mleta mada uko sahihi viongozi wa dini wanachezea akili za waumini wao watakavyo hivyo hivyo kwa viongozi wa siasa. Naamini mungu ila siamini wanadini, naamini umuhimu wa siasa ora ila si wanasiasa.
Hapana mnaozeeka ni wenye akili na maGT wa humu jf tu😂😂😂 kweli hata mjinga anazeeka.