Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Wahaya njoo hapa!hakuna mboga saba hapo
nsenene, maharaga, nyama, njegere, kisamvu, karanga, nyanya mshenzi, njugu mawe, viazi vitamu, na hiyo ni ndizi ni ile ya bokoba ee, gentleman?🐒
😄😄Nyanya mshenzi
Angalia vizuri hapo unitajie majina ya mboga saba za asili unazoziona katika hicho chakulaJamani haijafika saba tu elfu kumi yangu hiyo?
Angalia tena video #15shukran sana aise dah 🐒
Ndo niniNyanya mshenzi