toka nimeanza first year ...medical field mpk namaliza nipo mtaani ndo nasikia hilo leo .....unaweza ukajipima mwenyewe kama mimba.....Kuna App yake unaweza ukaipakua toka kwenye Playstore.....CeliApp
It applies normal state.tunahitaji ushahidi tu kujiridhisha. kwa maoni ya jumla ni kwamba grup hili halisumbuliwi na vimagonjwa vidogovidogo. lakini kumbuka kuna vigezo vingi vinavyopelekea UVIKO kukumaliza. suala si kuwa na damu O pekee, vipi afya yako kabla ya kukutana na UVIKO? Unaweza kuta ushajichokea na kisukari ama ngoma yako kitaambo, kisha ujigambe una grup O mbele ya UVIKO....UNAJIDANGANYA
[emoji16][emoji16][emoji16]Ww group lako ni CCM usijisumbue bure.
Mild manake minor stroke......Kuna mtu ninamjua ana group O na amapata mild stroke. Fanya utafiti upya.
Wazee wa O tupo,wakati Covid inaanza nilishawai kumuhudumia mgonjwa wa Covid kwa kumbeba na kumpakia kwenye ndinga yake kumpeleka hospitali,nashkuru mimi sikudhurika kwa chochote mpaka sana naendelea kutafuna nyama za kienyeji na za kishua.
Hawanaga nguvu za kiume hao, daily wanashinda kwa Mwamposa wakipaka mafuta ya upako nyeti zao ili ziimarike lakini wapi, wakitoka huko wanaenda kwenye vumbi la Kongo lakini wapi . Baada ya hapo wanaenda kunywa mchuzi wa pweza lakini wapi.....
Wakipiga kamoja ngoma inaahtuka Tena next weekend
Wapata wapi uwezo wa kuongea ukipoteza damu nyingi?
Hata ukimwi pia
Umesikia wapi jomba?
Endeleeni kujidanaganya Elimu ni tatizo sana Afrika wahuni wametupa mitala yao hata haitusaidii kitu tumekua wapiga ramli kwenye magonjwa...
Ndio group langu hilo
Mimi nina O- ila Covid niliumwa ile phase 1 kwakweli haikunisumbua kias cha kukosa usingizi wala kushindwa kufanya kazi zangu! Nilitumia Tangawizi na Malimau pamoja na vitunguu swaumu kwa siku 3 tu nikawa nimepona kabisa.
Group O wanalisingizia sana.
Leo ndo nimejua hii kitu, mimi ni group 0-, acid huwa inanisumbua sana, ila kwenye mbu sasa, mbu wanatushambulia balaa, unaweza kaa na mtu mwingine sehemu yenye mbu na wala hata asijitikise ila wewe sasa, mbu wanakushambulia balaa.
mkuu jitahidi walau kusoma vitabu ndo uje hi hii hoja. Unachosema si kweli yaani ni bonge la uongo. Nauita uongo maana unapotosha wengine.
Hamnaga hiyo kitu.
Ni lazima upimwe sababu ni Faster Sana.
Dokta hawezi kusikiliza maneno yako kwenye kuongeza damu kwa sababu wakikosea "Inaclot" na shughuli inaishia hapo unamfuata shujaa
Haizidi 5,000kipimo cha kujua group la damu kinagharimu kiasi gani maana mpaka sasa sijui group lang la damu.