sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hio ni kwako labda, siku hizi wadogo zetu wengi tu wakitoka form 4 na divion 1, sisi kaka zao tuliopitia vyuoni tunawakazia wasome vyuoni ili kuanza taaluma zao mapema, haya mambo ya kumaliza form 6 hujawai kwemda hata field training, cheti hakikupi ajira, unaingia chuoni mambo kibao mapya, n.k hatutaki wapitie wadogo zetuWaliofeli form four wengi hawanaga mawazo ya kujiendeleza diploma bali wachache tu ndio wenye uthubutu,hii inapelekea watu wanaojiunga na diploma kuwa wachache hapa nchini.
Hata hivyo kwa tathmini yangu ndogo inaniambia k2qmba wanaojjiunga na diploma vyuoni ni wachache kuliko wanaojiunga na degree(hii ni tathmini yangu tu).
Hii inafanya wenye diploma kuwa na idadi tofauti na wenye degree.
Actualy wanaoenda diploma sikuizi wana mpaka div 1 form 4. Sio mpaka mtu afeli. Ni suala la chaguo tuWaliofeli form four wengi hawanaga mawazo ya kujiendeleza diploma bali wachache tu ndio wenye uthubutu,hii inapelekea watu wanaojiunga na diploma kuwa wachache hapa nchini.
Hata hivyo kwa tathmini yangu ndogo inaniambia k2qmba wanaojjiunga na diploma vyuoni ni wachache kuliko wanaojiunga na degree(hii ni tathmini yangu tu).
Hii inafanya wenye diploma kuwa na idadi tofauti na wenye degree.
Amini nakwambia, form 4 wengi huwaambii kitu kuhusu kwenda kusomea form 5 badala ya chuo, na sababu huwa ni za kitoto sana kwamba wenzake wengi wameenda advance (peer pressure) 😂😂 na kuaminishanaWengi wanaenda form five then six halafu degree kutokana na hali ya uchumi .. umaskini si unajua kule yupo heslb
Sio wote wanaweza somesha chuo diploma kutokana na gharama
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mdau mmoja hapo juu akaelezea kuwa ni peer pressure. Ishu nyingine ni kuwa wanapenda chuo wengi wanakuwa na credit kidogo so kijana anaonekana akienda huko ataonekana ni kilaza. So anakomaa apitie advance.Amini nakwambia, form 4 wengi huwaambii kitu kuhusu kwenda kusomea form 5 badala ya chuo, na sababu huwa ni za kitoto sana kwamba wenzake wengi wameenda advance (peer pressure) 😂😂 na kuaminishana
uongo kwamba chuoni wanaoenda ni waliokosa credit za kuaonga form 4,
Mtu anaenda shule advance ada ni milioni 2.7+ wakati chuo kwenye faida nyingi ni milioni 1.3, yeye anakazania mambo ya advance.
Nadhani kwenda advance iwe kwa ambao wana changamoto za kiuchumi tutaelewa ila hawa wengine wenye uwezo hapana kwakweli
Mi nazani yote sawa tu MTU kama amefaulu kwenda advance na ana nia,anaenda tu na km hana nia basi analiga diploma,lkn ukweli n kwamba advance nako nikugumu ndo mana wengine wanatoka na zero,Kuna mdau mmoja hapo juu akaelezea kuwa ni peer pressure. Ishu nyingine ni kuwa wanapenda chuo wengi wanakuwa na credit kidogo so kijana anaonekana akienda huko ataonekana ni kilaza. So anakomaa apitie advance.
Kuna kijana wa mamdogo nilimshauri kuwa aende chuo baada ya kuwa amemaliza olevo akapata 3.+++ Afu akatokea Ilboru nikajua huyu hakuna kitu advance ni pagumu kinyama.
Kijana akakomaa akatoka na zero advance hawezi jipeleka chuo diploma Mana wazazi wake Hali ni mbaya.akawa ameishia hapohapo
Ishu ni kwamba huko form 6 unapata faida ipi??Mi nazani yote sawa tu MTU kama amefaulu kwenda advance na ana nia,anaenda tu na km hana nia basi analiga diploma,lkn ukweli n kwamba advance nako nikugumu ndo mana wengine wanatoka na zero,
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
wengi bado wanakuwa hawajapevuka akili za maisha halisi, wanafata mikumbo tuKuna mdau mmoja hapo juu akaelezea kuwa ni peer pressure. Ishu nyingine ni kuwa wanapenda chuo wengi wanakuwa na credit kidogo so kijana anaonekana akienda huko ataonekana ni kilaza. So anakomaa apitie advance.
Kuna kijana wa mamdogo nilimshauri kuwa aende chuo baada ya kuwa amemaliza olevo akapata 3.+++ Afu akatokea Ilboru nikajua huyu hakuna kitu advance ni pagumu kinyama.
Kijana akakomaa akatoka na zero advance hawezi jipeleka chuo diploma Mana wazazi wake Hali ni mbaya.akawa ameishia hapohapo
Sure ukitaka kujua diploma ina nguvu uliza dit, madogo wanakula maisha hatari,Hio ni kwako labda, siku hizi wadogo zetu wengi tu wakitoka form 4 na divion 1, sisi kaka zao tuliopitia vyuoni tunawakazia wasome vyuoni ili kuanza taaluma zao mapema, haya mambo ya kumaliza form 6 hujawai kwemda hata field training, cheti hakikupi ajira, unaingia chuoni mambo kibao mapya, n.k hatutaki wapitie wadogo zetu
Kabisa, tatizo watu wamekaririActualy wanaoenda diploma sikuizi wana mpaka div 1 form 4. Sio mpaka mtu afeli. Ni suala la chaguo tu
Endelea kujidanganya mkuu....!! Vijana wa Dip bado ni wengi mtaaani na kaz hawana
Nilichogundua sio kuwa na mawazo wala uthubutu bali kukosa ufahamu...Waliofeli form four wengi hawanaga mawazo ya kujiendeleza diploma bali wachache tu ndio wenye uthubutu,hii inapelekea watu wanaojiunga na diploma kuwa wachache hapa nchini.
Huwez compare na bach mzeeEndelea kujidanganya mkuu....!! Vijana wa Dip bado ni wengi mtaaani na kaz hawana
Engineering ya Umeme, Civil n.k ktk Diploma DIT, ni ngumu kukaa bila kupata kazi.Sure ukitaka kujua diploma ina nguvu uliza dit, madogo wanakula maisha hatari,