Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya.
Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine, ila wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita.
Ni kweli Ukraine itakuwa magofu matupu na mpaka sasa imepoteza wanajeshi wengi sana, ila mrusi kushinda vita hili halitotokea. Naiona hii vita ikichukua muda mrefu sana kumpata mbabe.