Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Putin amepanda basi ambalo hajui anapoenda ...Mrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya.
Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine,ila wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita.
Ni kweli Ukraine itakuwa magofu matupu na mpaka sasa imepoteza wanajeshi wengi sana, ila mrusi kushinda vita hili halitotokea. Naiona hii vita ikichukua muda mrefu sana kumpata mbabe.
Kuwa kwao deep kunasaida nini wakati Ukraine ikisagwa namna hii!?wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita.
Kama ambavyo NATO hawawezi kukubali fedhea na Urusi pia hawatotaka upuuzi huo.RUSSO
Mtabadilisha kila neno ila mtakubali kipigo tuuu
Nisuala la muda
Sent using Jamii Forums mobile app
hili siyo la kwanza kwa mataifa haya makuu mawili (Russia na USA)Mrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya.
Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine,ila wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita.
Ni kweli Ukraine itakuwa magofu matupu na mpaka sasa imepoteza wanajeshi wengi sana, ila mrusi kushinda vita hili halitotokea. Naiona hii vita ikichukua muda mrefu sana kumpata mbabe.
Mrusi ameshakwambia sasa ni mwisho wa utawala wa mbabe mmoja..........sahivi wanakuja wababe wengine na watakua na influence sawa au zaidi ya huyo mbabe anae expireMrusi kushinda hii vita itakuwa ni tusi kubwa sana kwa US na mataifa makubwa barani ulaya.
Haya mataifa makubwa yameshaonyesha wazi wazi kuwa yapo nyuma ya Ukraine, ila wanajificha tu kwenye mwamvuli wa kuisaidia Ukraine silaha, ila wapo deep sana kwenye hii vita.
Ni kweli Ukraine itakuwa magofu matupu na mpaka sasa imepoteza wanajeshi wengi sana, ila mrusi kushinda vita hili halitotokea. Naiona hii vita ikichukua muda mrefu sana kumpata mbabe.
Mtajifsriji sana najua ikifika December mtabadilisha maneno mtasema ohoo alishindwa kuichukia Kiev kwaiyo hajashinda vita wakati maeneo yote aliyoyataka kachukua hii vita imeshaisha saivi mtajifariji Tu tatizo wengi mnaichukulia Rusia kama nchi isiyojua hii dunia inaendajePutin amepanda basi ambalo hajui anapoenda ...
Ngoja mda ufike atajifunza kuwa kuna ulimwengu na wenye ulimwengu..
Kiburi cha Putin kinakaribia mwisho, tayari Ujasusi wa USA&NATO unakaribia kukimaliza kiburi cha Putin cha kutishia dunia na Nyukilia.Ndiyo maana mi sasa sipendi kusafiri, Russia lazima awa nuke
kwani tafsiri ya ushindi kwako ni ipi?Ni kweli Ukraine itakuwa magofu matupu na mpaka sasa imepoteza wanajeshi wengi sana.
Russia kwa ubabe upi? Si bora uzungumzia China, UK n.k? Mbabe asiye na infuence? Mbabe masikini?Mrusi ameshakwambia sasa ni mwisho wa utawala wa mbabe mmoja..........sahivi wanakuja wababe wengine na watakua na influence sawa au zaidi ya huyo mbabe anae expire
Kabisa ingawaje fedheha hii NATO hataikwepaKama ambavyo NATO hawawezi kukubali fedhea na Urusi pia hawatotaka upuuzi huo.
Ubabe na ushawishi mbna haviingiliani hivi vitu !!!!?Russia kwa ubabe upi? Si bora uzungumzia China, UK n.k? Mbabe asiye na infuence? Mbabe masikini?
RUSSIA hajaanza leo kupigana na western leoMimi naomba nitofautiane na wewe hapa kidogo
- Westerns wao kile wanachokitafuta ni lazima watakipata, sasa sote hapa hatujui wanakitaka kitu gani.
- Pengine walitaka kuweza kutambua ukubwa wa jeshi la urusi na ana zana zipi za kisasa za kivita au kumdhoofisha kiuchumi zaidi ili asiweze kuzitunza nukes alizonazo.
- Kwahiyo Russia anaweza akashinda vita lakini ni muda ambao tayari Westerns wameshakipata kile wanachokitaka.
Nakubaliana na wewe mleta mada, linapokuja suala la fitna na unyama, US na UK ni watu wengine kabisa ktk ulingo huo. Kama pesa wanazo, silaha ambazo ni very advanced wanazo ila wao hawanaga mashow off kama russia, korea n.k ila jamaa vyuma wanavyo hasa.
Masuala ya pesa tusizungumze maana russia kwa hizo nchi ni maskini wa kutupwa, hata Japan kampiga parefu mrusi.
Kwan alisema atamaliza liniPutin mpaka leo kuna mambo ni magumu kwake, hajui vita atakuja amalize lini yaani amekwama na siku wenye dunia wakiamua anaondolewa Siku 1 tu
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app