HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini??
Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye anayepiwa magoti na aliyesoma na kutelekeza fani yake au aliyesoma na kupigia magoti asiyesoma?
Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye anayepiwa magoti na aliyesoma na kutelekeza fani yake au aliyesoma na kupigia magoti asiyesoma?