mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo.
Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini zimepotea.
So nilikuwa natafta ramani nzuri ya kujenga shambani ambayo at least will accommodate mimi na mke wangu imenichukua mwaka kutafta mitandaoni kupita kwenye page za wazungu na wachora ramani ili nioe plan gani inawenza nifaa.
Hii plan nimeipenda hebu boresheni na naona inafaa kwa matumizi ya bachelor mjini , mwenye familia changa kukimbia kodi.
Hebu boresheni hii plan , mimi naona imekosa sehemu ya kusalia na kuomba MUNGU, nawaza tu urefu uwe futi 28 na mapana yawe 18 , au futi 30 kwa futi 20, bati zisivuke 40 na tofali zisivuke mia 700.