Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili kufanyika kwa wakati huu kwani sio muda wake,nashauri kwa weakness AMBAYO baadhi ya taasisi zimekosea kwa kujisahau,hizi harakati zote za kisiasa zikome rasmi,kwani baadhi zinapotosha watanzania....
Tuchape kazi,jumatatu njema.
Tuchape kazi,jumatatu njema.