Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Hapo mwisho siku watawambiwa wafungue akaunt na huyo broker kwa watakaohuzulia training.
Hili limewekwa wazi kwenye email walizo tuma

Wameweka wazi Day 1 free, then iwapo utahitaji kuendelea na semina ya siku tatu LAZIMA u_deposit USD200 kwenye trading account yoko utakayofungua kwao.
 
Kwa hiyo hakuna kujisajili kwa ajili ya seminar?
Yaani unazuka tu na Notebook na kalamu yako unaenda?
 
Mmesema mnaleta wenye forex..then kwenye kujinadi mnaji hanganya na kusema ni Brokers
 
Mkuu hapo sidhani kama unaweka email ya pasword yako,bali weka strong pasword
 
Nimeweka email sahihi imkubali, nikibadili hata herufi moja tu inakataa
Mkuu me nadhani we udhulia tu seminar,then uchague broker utakaye mtaka wewe,au uchague huyo fxtm baada ya kulidhika na vigezo vyako.
 
Mkuu me nadhani we udhulia tu seminar,then uchague broker utakaye mtaka wewe,au uchague huyo fxtm baada ya kulidhika na vigezo vyako.
Poa Mkuu,
Hata hivyo nimegundua ulikua sahihi, haikuhitaji real password, bali strong password.
Nimeweka Wrong but Strong imekubali
 
Kwa hiyo hakuna kujisajili kwa ajili ya seminar?
Yaani unazuka tu na Notebook na kalamu yako unaenda?

Thank you for registering with ForexTime.

I would like to introduce myself, as your personal account Service manager.

I tried calling you but couldn’t reach you.

I called to inform you about a free seminar and workshop coming up on the 5th -9th of may in Tanzania

Seminar Venue: Milmani City Conference Centre

Dares Salam

Date : 5th May 2018

Time: 10 am

Workshop Venue: CITL Tanzanite Tower 6th floor Mawenge street

Dares Salaam.

Date : 7th -9th of may 2017

Time :10 am

Looking forward to seeing you
 
Anatafuta wateja wkt yeye mwnyw ni scammer,fxtm sio tu ni market maker lkn ni scammer,unwz kutrade ukapata faida na ukitaka kutoa pesa akazizuia,tembelea forexpeacearmy.com usome reviews kuhusu huyu broker tapeli.
 
Msiseme hamkuonywa,sio mby kwenda kujifunza lkn linapokuja suala la broker kaa mbali na huyu,wapo brokers wengi tu wazuri lkn sio huyu fxtm,kaa chonjo utakuja kulia.
 
Forex ni elimu ya kufundisha wezi jinsi ya kuiba kisomi bila kukamatwa
 
Msiseme hamkuonywa,sio mby kwenda kujifunza lkn linapokuja suala la broker kaa mbali na huyu,wapo brokers wengi tu wazuri lkn sio huyu fxtm,kaa chonjo utakuja kulia.

Tunaongelea ELIMU chief. Hakuna broker utakayempata yuko 100% perfect never. Wengi wao karibu wote ni market maker number moja. wanapata faida ama kwa commision,ukiuunguza nk.. thats why wakati wa news wanavuta spreed kama nyoka...Kikubwa watz tunahitaji elimu kubwa kuhusu forex..tusibeze elimu kama hizi tena za bure
 
Cjaongelea umarket maker,kuna market makers wazuri tu, Ila huyu nimemsema kama scammer,personally imenikuta,maana wkt naanza huyu ndo alikua broker wangu wa kwanza,ubaya ni kwamba ushahidi wote nilifuta,lkn alinikomesha,nilitoa pesa ndogo tu lkn mpk leo cjaipata na mwaka umepita sasa.
 
Sijui kama unaelewa maana ya market maker.. Hakuna market maker mzuri duniani.

Hebu nieleweshe market maker commissions zake anazikata vipi kutoka kwa trader? Ukinijibu hapo ndipo nitajua wewe umeiva au la kwenye forex.
 
Mmeanza tena wallahi..
Yaani kama vile wapya..dah!!
 
Sijui kama unaelewa maana ya market maker.. Hakuna market maker mzuri duniani.

Hebu nieleweshe market maker commissions zake anazikata vipi kutoka kwa trader? Ukinijibu hapo ndipo nitajua wewe umeiva au la kwenye forex.
Tunaongelea uzuri wa market maker au wizi wa fxtm!?dnt try to change the subject kwa kusoma mstari mmoja wa sentensi.
 
Sijui kama unaelewa maana ya market maker.. Hakuna market maker mzuri duniani.

Hebu nieleweshe market maker commissions zake anazikata vipi kutoka kwa trader? Ukinijibu hapo ndipo nitajua wewe umeiva au la kwenye forex.
Mm nshamaliza chief,km una maslahi na fxtm pole yako,sipo kubishana nna mambo muhimu,nilitaka tu kutahadharisha watu khs huyu broker haijalishi nimeiva au lah,guys nendeni google type fxtm reviews,utapata yote khs huyu broker tapeli,usiseme hukuonywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…