Mkuu sana, si vibaya ukitupa tathmini ya hadi tulipofika ktk safari yetu. Ili wale tusioelewa tuweze kupata picha. Nadhani si mbaya mkuu!!!!Hapana.
Mimi na sera za Magufuli mpaka tuone mwisho wake (2025). Maamuzi yake yana tija za muda mrefu (strategic). Mimi nipo siti ya mbele namuangalia dereva akifanya vitu vyake.
Gari bado lipo mlimani linapanda. Hivi punde tutafikia kileleni na kuanzia hapo ni mteremko. Mambo yatanyooka tu mkuu. Subra.Mkuu sana, si vibaya ukitupa tathmini ya hadi tulipofika ktk safari yetu. Ili wale tusioelewa tuweze kupata picha. Nadhani si mbaya mkuu!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisaidie kumsalimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaaa kwa Hali ilivyo sasa lazima ayakane anatamani angekuwa mod ayafute kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23]
Ni mwendo wa Nissan nyeupeNafukua kaburi vipi wenzangu tuliofurahia ushindi kwa vifijo na vigelegele, twajionaje na hali?
Na mimi nakusalimia[emoji137]Vipi nakusalimia tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hunitakii mema cuzoo ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisaidie kumsalimia
Hatai kweli kwei[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni mwendo wa Nissan nyeupe
Akikujibu unitagDada ngoja nikuulize bado mnashangilia mpaka sasa nauliza tu mimi jamaan
Mwifwa niache ujue usinikumbushe machungu nilitolewa povu [emoji1][emoji1][emoji1]Akikujibu unitag
Mahaba niue.Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Kwahiyo tuwe standby na vigogo mikononi?? Maana mambo ya gari ikiwa mlimani inaweza kurudi nyuma wakati wowote. Konda tupe maelezo vizuri maana mmmhhh mlima wenyewe hatuelewi tutaumaliza lini.Gari bado lipo mlimani linapanda. Hivi punde tutafikia kileleni na kuanzia hapo ni mteremko. Mambo yatanyooka tu mkuu. Subra.
Anayejua ID mpya ya huyu mkereketwa anitajia nifuatilie msimamo wakeTumewanyoooosha kudadadeki!!!! zao
Salama kakahabari ya siku dada
Rahaaaaaaaaaaaaaa...... utamuuuuuuuuuuuuuu .....
Raha tena utamu raha utamu raha utamuuuuuuu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oyooooooooooooooooooooooo
Nafukua kaburi vipi wenzangu tuliofurahia ushindi kwa vifijo na vigelegele, twajionaje na hali?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwifwa niache ujue usinikumbushe machungu nilitolewa povu [emoji1][emoji1][emoji1]
Ha ha haaaaa. Umenifurahisha. Usiwe na hofu mkuu. Gari limefungwa injini mpya hivi majuzi tu. Tairi nazo zina cheni mpya. Tutafika salama.Kwahiyo tuwe standby na vigogo mikononi?? Maana mambo ya gari ikiwa mlimani inaweza kurudi nyuma wakati wowote. Konda tupe maelezo vizuri maana mmmhhh mlima wenyewe hatuelewi tutaumaliza lini.
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102][emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]