Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Mkuu sana, si vibaya ukitupa tathmini ya hadi tulipofika ktk safari yetu. Ili wale tusioelewa tuweze kupata picha. Nadhani si mbaya mkuu!!!!Hapana.
Mimi na sera za Magufuli mpaka tuone mwisho wake (2025). Maamuzi yake yana tija za muda mrefu (strategic). Mimi nipo siti ya mbele namuangalia dereva akifanya vitu vyake.