Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Hapana.

Mimi na sera za Magufuli mpaka tuone mwisho wake (2025). Maamuzi yake yana tija za muda mrefu (strategic). Mimi nipo siti ya mbele namuangalia dereva akifanya vitu vyake.
Mkuu sana, si vibaya ukitupa tathmini ya hadi tulipofika ktk safari yetu. Ili wale tusioelewa tuweze kupata picha. Nadhani si mbaya mkuu!!!!
 
Mkuu sana, si vibaya ukitupa tathmini ya hadi tulipofika ktk safari yetu. Ili wale tusioelewa tuweze kupata picha. Nadhani si mbaya mkuu!!!!
Gari bado lipo mlimani linapanda. Hivi punde tutafikia kileleni na kuanzia hapo ni mteremko. Mambo yatanyooka tu mkuu. Subra.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisaidie kumsalimia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haaaaaaa kwa Hali ilivyo sasa lazima ayakane anatamani angekuwa mod ayafute kabisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaaani!!!!...weee acha tuu.. siku ya leo nina furaha isiyo kifani. nimefurahi sana tena sanaaaaa... Dr Magufuli kuwa rais wetu wa awamu ya tano. kama una furaha km mimi mwaga hapa hisia zako plz
Mahaba niue.

Mkuu uko ICU au MOI kwa sasa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gari bado lipo mlimani linapanda. Hivi punde tutafikia kileleni na kuanzia hapo ni mteremko. Mambo yatanyooka tu mkuu. Subra.
Kwahiyo tuwe standby na vigogo mikononi?? Maana mambo ya gari ikiwa mlimani inaweza kurudi nyuma wakati wowote. Konda tupe maelezo vizuri maana mmmhhh mlima wenyewe hatuelewi tutaumaliza lini.
 
Rahaaaaaaaaaaaaaa...... utamuuuuuuuuuuuuuu .....
Raha tena utamu raha utamu raha utamuuuuuuu

Oyooooooooooooooooooooooo
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafukua kaburi vipi wenzangu tuliofurahia ushindi kwa vifijo na vigelegele, twajionaje na hali?
 
Kwahiyo tuwe standby na vigogo mikononi?? Maana mambo ya gari ikiwa mlimani inaweza kurudi nyuma wakati wowote. Konda tupe maelezo vizuri maana mmmhhh mlima wenyewe hatuelewi tutaumaliza lini.
Ha ha haaaaa. Umenifurahisha. Usiwe na hofu mkuu. Gari limefungwa injini mpya hivi majuzi tu. Tairi nazo zina cheni mpya. Tutafika salama.
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Back
Top Bottom