Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
- Thread starter
- #41
SikataiSio sababu ndugu hayo matukio kuna baadhi ata hawayafahamu nikiwemo mimi. Elewa tu kuna unavyo jua na usivyo jua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SikataiSio sababu ndugu hayo matukio kuna baadhi ata hawayafahamu nikiwemo mimi. Elewa tu kuna unavyo jua na usivyo jua.
Sasa zetu za aftatu wataiba saa ngap, lazima tutashtukiaNaskia
Ndio michezo yao kwenye acc zenye pesa nyingi
Sasa hujaelewa nini? Ameeleza utaratibu unavofanyika katika kufanya malipo, ni lazima kwanza kupata bank statement na ameeleza balance katika bank statement inaonesha pesa ipo ya kutosha tu.Hueleweki. Bank statement ni taarifa za akaunt katika karatasi au softcopy. Unavyoelezea ni as if akunti ni box fulani lenye pesa wakati ni taarifa tu. Embu eleza vzr hapo unaposema bank statement fedha zipo ila kwenye akaunt hazipo.
Hawa hawa Stanbic au kuna wengine?Mabenki haya ya ndani ni majizi sana ,Bank za nje hakuna huo upuuzi.
CRDB ni wezi sana ,Stanbic wapo vizuri.
sa hujaelewa nini mbona kama we ndo huelewekiHueleweki. Bank statement ni taarifa za akaunt katika karatasi au softcopy. Unavyoelezea ni as if akunti ni box fulani lenye pesa wakati ni taarifa tu. Embu eleza vzr hapo unaposema bank statement fedha zipo ila kwenye akaunt hazipo.
Elewa hoja yangu boss.Sasa hujaelewa nini? Ameeleza utaratibu unavofanyika katika kufanya malipo, ni lazima kwanza kupata bank statement na ameeleza balance katika bank statement inaonesha pesa ipo ya kutosha tu.
Katika kukamilisha muamala ikashindikana, kwa maana salio halisi katika bank acc lilionekana kuwa kidogo/tofauti na lilioneshwa katika statement.
Rudia kusoma vizuri, taratibu utamuelewa.
Boss. Taarifa za kutoa na kuweka fedha za akaunt yako haziwezi kutofautiana unless umepewa taarifa za tarehe tofauti sababu bank statement ni taarifa za miamala na akaunt maana yake ni taarifa za uwekaji na utoaji fedha. Fedha zipo kwenye safe za watu wote.sa hujaelewa nini mbona kama we ndo hueleweki
Hoja yako majibu yake yapo humo katika taarifa ya jamaa, ameshuhudia utofauti uliokuwepo kati ya hiyo statement na balance katika accounti husika.Elewa hoja yangu boss.
bank statement ni taarifa za akaunti, Taarifa zikitofautiana basi labda umepewa taarifa mbili zenye tarehe tofauti. Akaunt ina taarifa za kuingiza na kutoa pesa, pesa halisi zipo kwenye safe huko na ni za wote.
Uongo huu.Boss. Taarifa za kutoa na kuweka fedha za akaunt yako haziwezi kutofautiana unless umepewa taarifa za tarehe tofauti sababu bank statement ni taarifa za miamala na akaunt maana yake ni taarifa za uwekaji na utoaji fedha. Fedha zipo kwenye safe za watu wote.
Ndo swali nikauliza. Bank statement ni taarifa katika karatasi au soft copy inayoonyesha miamala na akaunt ni taarifa za miamala. Sasa kapewa taarifa za tarehe tofauti au kaona muamala ambao hautambui?Hoja yako majibu yake yapo humo katika taarifa ya jamaa, ameshuhudia utofauti uliokuwepo kati ya hiyo statement na balance katika accounti husika.
Ukweli ni upi? Kuwa kwenye akaunt yako kuna sanduku la fedha zako 🙂 🙂Uongo huu.
Nikurekebishe, bank statement ni taarifa inayoonesha miamala ya akaunti husika na kiasi kilichopo (balance) kilichopo katika akaunti husika.Ndo swali nikauliza. Bank statement ni taarifa katika karatasi au soft copy inayoonyesha miamala na akaunt ni taarifa za miamala. Sasa kapewa taarifa za tarehe tofauti au kaona muamala ambao hautambui?
Sawa. Ukishakuwa na miamala si balance inakuja automatically. Umeweka laki, umetoa elf hamsini automaticaly itabaki elf hamsini. Ila hiyo elf hamsini ni taarifa tu sio kuwa kuna box lako lipo inawekwa hapo kuwa kiasi kilichopo kitatofatiana na BS katika wakati linganifu.Nikurekebishe, bank statement ni taarifa inayoonesha miamala ya akaunti husika na kiasi kilichopo (balance) kilichopo katika akaunti husika.
Same here....benki yangu mini ni stanbic, CRDB kwa mbaaali, NBC na equity. NMB ninayo ila kwa pesa ya kupita, ikiwekwa tu huwa naenda kukwapua yote na kubakisha kama laki tu au hata chini ya hapo kulinda account.
Yes, natumia stanbic wapo vzr sanaMabenki haya ya ndani ni majizi sana ,Bank za nje hakuna huo upuuzi.
CRDB ni wezi sana ,Stanbic wapo vizuri.
HahahahhaHawa hawa Stanbic au kuna wengine?View attachment 2488634
Unalinda account isiibiwe au[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunakaushamba flan hiv kapo etbenki yangu mini ni stanbic, CRDB kwa mbaaali, NBC na equity. NMB ninayo ila kwa pesa ya kupita, ikiwekwa tu huwa naenda kukwapua yote na kubakisha kama laki tu au hata chini ya hapo kulinda account.
Hii ya kusema imepungua 10000 wanatupiga kweli. Maana mtu unaenda umehesabu hela kabisa lakini wao wanasema ime shotiBank ni majizi kwa matukio yaliyonikuta
Nilikuwa naweka kila wakati kama 10m au zaidi kwa mzunguko ya biashara
Sasa mnajua mteja anakuja kahesabu hela zake, na mimi nahesabu ninapopokea
Baadae nazihesabu tena ili ziende Bank hapo tumeisha hesabu mara 4
Unafika bank unampa teller anahesabu kwenye machine halafu anasema kuna 10,000 hakuna
Hapo unasema labda kweli unatoa mfukoni unampa
Ilijirudia kwa wafanyakazi kama watatu
Siku hiyo tumehesabu wawili hela zote kufika eti ten hamna
Nilipiga kelele na kuwaita wote waizi
Waliona aibu sana mpaka GM akaja kuniomba yaishe
Ila hawakuchukuliwa hatuwa zozote naona wote lao moja
Siku nyingine mmoja wao eti ananipa 10,000 akasema imezidi nikamwambia Chambo hiyo eti [emoji1] [emoji1787]
Waliponipiga mara ya Tatu nilikasirika sanaHii ya kusema imepungua 10000 wanatupiga kweli. Maana mtu unaenda umehesabu hela kabisa lakini wao wanasema ime shoti