Wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu

Wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu

Bank ni majizi kwa matukio yaliyonikuta
Nilikuwa naweka kila wakati kama 10m au zaidi kwa mzunguko ya biashara

Sasa mnajua mteja anakuja kahesabu hela zake, na mimi nahesabu ninapopokea
Baadae nazihesabu tena ili ziende Bank hapo tumeisha hesabu mara 4

Unafika bank unampa teller anahesabu kwenye machine halafu anasema kuna 10,000 hakuna

Hapo unasema labda kweli unatoa mfukoni unampa
Ilijirudia kwa wafanyakazi kama watatu
Siku hiyo tumehesabu wawili hela zote kufika eti ten hamna
Nilipiga kelele na kuwaita wote waizi
Waliona aibu sana mpaka GM akaja kuniomba yaishe
Ila hawakuchukuliwa hatua zozote naona wote lao moja

Siku nyingine mmoja wao eti ananipa 10,000 akasema imezidi nikamwambia Chambo hiyo eti [emoji1] [emoji1787]
"Siku nyingine mmoja wao eti ananipa 10,000 akasema imezidi nikamwambia Chambo hiyo eti [emoji1] [emoji1787]"
 
Benk statement inatumika kama reference kuingia kwenye FFARS.

Unaandaa malipo kulingana na kilichomo katika benk statement. Unapitisha chek kwa mamlaka husika. Unapoenda benk kuchukua, wanaangalia wanakwambia hela iliyoko kwenye akaunti ni kidogo kuliko unachohitaji kuchukua.

Yametokea hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hili limenitokea mwezi December, kifungu cha ujenzi kilikua na mil 3, nikipiga mahesabu ya malipo yote niliyofanya balance inatakiwa iwe mil 3 Ila cha kushangaza Account ina laki 5 Tu, nikaomba statement nihakiki malipo hesabu ni hiyo hiyo inabaki mil 3. Wiki iliyopita nimechukua statement na kuhakiki hela iliyopo Ile mil 3 naiona nadhan mwez uliopita kulikua na shida flan
 
Benki statement na available balance vinapishana.

Najiuliza wanafanyaje sipati jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki. Bank statement ni taarifa za akaunt katika karatasi au softcopy. Unavyoelezea ni as if akunti ni box fulani lenye pesa wakati ni taarifa tu. Embu eleza vzr hapo unaposema bank statement fedha zipo ila kwenye akaunt hazipo.
Kichwa Yako ngumu Mzee taarifa mbili tofauti kuhusu account Moja taarifa ya pesa ukitoa statement fupi inaoneshaa account Ina pesa kama ambavyo hesabu za wahusika zinasema ila ukija kwenye uhalisia account ya taasisi Haina pesa Hali ambayo taasisi imeweka
 
SIJUI, LABDA SYSTEM IWE NA HITILAFU ICHANGANYE TAARIFA ZA WATEJA TOFAUTI ILA KWA UELEWA WANGU:

Taarifa mbili tofauti katika akaunti moja ndani ya mda uliolingana haiwezekani sababu taarifa za miamala(BANK STATEMENT) ni picha au copy ya taarifa za miamala iliyofanyika(BANK ACCOUNT)

Hicho unachokiita akaunti ni taarifa za miamala , hiyo taarifa ndo unaprintiwa kama bank statement.

Kama taarifa inaonyesha huna fedha na taarifa uliyopewa fedha ipo basi kuna taarifa ya mwamala haijaprintiwa au taarifa zimefanana ila kuna taarifa ya mhamala ambao huutambui unaopelekea usiwe na fedha.

Labda useme bank imefilisika haina hela ambapo ni suala jingine kabisa.
 
Benki statement na available balance vinapishana.

Najiuliza wanafanyaje sipati jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
HOW? au ulipewa taarifa za akunti nyingine kwa taarifa za akaunt yako. Maana bank statement ni picha ya taarifa za miamala yako. Labda system iliingiwa na tatizo ikawa imemix taarifa za akaunt za wateja. TS VERY WEARD.
 
Kichwa Yako ngumu Mzee taarifa mbili tofauti kuhusu account Moja taarifa ya pesa ukitoa statement fupi inaoneshaa account Ina pesa kama ambavyo hesabu za wahusika zinasema ila ukija kwenye uhalisia account ya taasisi Haina pesa Hali ambayo taasisi imeweka
Mkuu Hivi inawezekana kuprint taarifa halafu baada ya kuprint ikawa tofauti na source uliyoprint? Bank statement huwa inavuta taarifa kutoka wapi?
 
Niliwahi kuandika juu ya wakala wa NMB aliyekuwa ana double transactions bila ridhaa ya mteja. Alipiga wateja wanne kama 20m hivi. NMB hawakuchukua hatua dhidi ya wakala huyo.

Leo ninaandika tena kusisitiza kuwa wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu. Hawa jamaa ni wapigaji.

Wanaweza kutoa hela kwenye akaunti yako bila wewe kujua.

Leo ninaongea kuna jamaa yangu kanipa kisa hiki.
Asante kwa taarifa mkuu now nime download bank statement coz kunapesasijui zimepunguaje kwny account
 
Nmb nlituma pesa kutoka atm kwenda namba ya simu nilijuta kwa kweli nikiwapigia simu kila siku wananiambia tatizo linashughulikiwa, mara wanasemaje shida ipo mtandao wa simu bahati nzuri ilikua laki mbili tu yaan ilikua kurudi baada ya miezi saba.
Hapo nimejaza hadi fomu tawini mara mbili
 
Back
Top Bottom