Wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu

Wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu

Bank ni majizi kwa matukio yaliyonikuta
Nilikuwa naweka kila wakati kama 10m au zaidi kwa mzunguko ya biashara

Sasa mnajua mteja anakuja kahesabu hela zake, na mimi nahesabu ninapopokea
Baadae nazihesabu tena ili ziende Bank hapo tumeisha hesabu mara 4

Unafika bank unampa teller anahesabu kwenye machine halafu anasema kuna 10,000 hakuna

Hapo unasema labda kweli unatoa mfukoni unampa
Ilijirudia kwa wafanyakazi kama watatu
Siku hiyo tumehesabu wawili hela zote kufika eti ten hamna
Nilipiga kelele na kuwaita wote waizi
Waliona aibu sana mpaka GM akaja kuniomba yaishe
Ila hawakuchukuliwa hatuwa zozote naona wote lao moja

Siku nyingine mmoja wao eti ananipa 10,000 akasema imezidi nikamwambia Chambo hiyo eti [emoji1] [emoji1787]
Nimecheka sana eti "....nilipiga kelele na kuwaita wote waizi"
 
Sasa hujaelewa nini? Ameeleza utaratibu unavofanyika katika kufanya malipo, ni lazima kwanza kupata bank statement na ameeleza balance katika bank statement inaonesha pesa ipo ya kutosha tu.

Katika kukamilisha muamala ikashindikana, kwa maana salio halisi katika bank acc lilionekana kuwa kidogo/tofauti na lilioneshwa katika statement.

Rudia kusoma vizuri, taratibu utamuelewa.
Hamna kitu kama hicho, nonsense!
 
Waliponipiga mara ya Tatu nilikasirika sana
Ila walikoma maana niliwatukana sana na kuwaambia kwa siku mnaiba kumi kumi ngapi waizi nyie

Mwisho wake Manager akaja nae nikamchana hapo hapo akaniita ofisini na kusema kila ukija nitahakikisha nazihesabu mimi au nasimamia zoezi

Ila ni washenzi sana wanawaibia sana watu
Yaani nikiona mtu aliesoma najua ni wale wale tu majizi
Poor mindset nimeshuhudia Mtu kama wewe pale bank hela zinahesabiwa ikapungua 90k akakataa manager mwenyewe akazichukua akahesabu tena zikawa pungufu hiyo hiyo 90k,akakubali kwahiyo tunawajua wateja wa hivyo mpo na namna gani ya kudeal nao
 
Same here....

Shida equity ukiwa ndani ndani ngumu kupata huduma, nmb natumia kama gateway tu na siwezi tunza fedha kubwa humo zaidi ya miezi miwili ila huduma kubwa kubwa natumja equity.

Inaonekana banks za bongo matatizo au cyber attacks zinazotokea kwenye accounts za wateja wanaziachia loss zikawe covered na balance za wateja badala ya wao kuwa responsible, ndo unakuta matatizo kama haya wanayosena hapa. All in all kwa TZ naona bank ni NMB tu(personal opinion)
Hapana cyber attacks za bongo sio kubwa na zinazuilika even ikitokea bank inaka cover loss endapo Mteja haja initiate transaction
 
Niliwahi kuandika juu ya wakala wa NMB aliyekuwa ana double transactions bila ridhaa ya mteja. Alipiga wateja wanne kama 20m hivi. NMB hawakuchukua hatua dhidi ya wakala huyo.

Leo ninaandika tena kusisitiza kuwa wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu. Hawa jamaa ni wapigaji.

Wanaweza kutoa hela kwenye akaunti yako bila wewe kujua.

Leo ninaongea kuna jamaa yangu kanipa kisa hiki.
Madai ya kimasikini sana
 
Nimecheka sana eti "....nilipiga kelele na kuwaita wote waizi"
Hasira [emoji1] unajua na ukiwa mzee utanielewa
Nilikuwa nawashangaa wazee kwa sound ila na mimi nimekuwa sipepesi macho nachana live tena kwa sauti iwe immigration, hospital hata police ni mwendo wa haki tu upende usipende napiga kelele tu

Utasikia mzee basi yaishe [emoji1] [emoji1787]
 
Poor mindset nimeshuhudia Mtu kama wewe pale bank hela zinahesabiwa ikapungua 90k akakataa manager mwenyewe akazichukua akahesabu tena zikawa pungufu hiyo hiyo 90k,akakubali kwahiyo tunawajua wateja wa hivyo mpo na namna gani ya kudeal nao
Siwezi kuandika uongo kama unavyojitetea hapa, wala siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe na kunishutumu kuwa ni muongo
Nyie so-called wasomi wengi ni majizi ila nashangaa sana bado mpo kazini kwa sababu mnabebwa na kushirikiana na managers

Kwa hiyo ulichoshuhudia ukaja na hili poor you

Sasa nilipowachana mbona walikuwa wapole? Mwizi hana Soni na wewe unawatetea
 
Huu uzi unaashiria watu wengi wana elimu duni na hawajui haki zao. Kama mtu umeibiwa taratibu za kufuata si ziko wazi? Kulalamika tu hapa kwamba benki ni wezi naona ni upumbavu, umbea na unafiki. NMB nimeitumia muda mrefu sana na kama kuna tatizo huwa nawaona wahusika tunamalizana. Vijana hizo smartphone zenu mzitumie kujiongezea maarifa.
 
Hapa tunapeana tahadhari. Hatua stahiki zilikwisha chukuliwa.

Hata mimi mwanzoni nilidhani benki ni smart 100%, kumbe kuna madudu ya kutosha. Ukiyapata ndo utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bank ni majizi kwa matukio yaliyonikuta
Nilikuwa naweka kila wakati kama 10m au zaidi kwa mzunguko ya biashara

Sasa mnajua mteja anakuja kahesabu hela zake, na mimi nahesabu ninapopokea
Baadae nazihesabu tena ili ziende Bank hapo tumeisha hesabu mara 4

Unafika bank unampa teller anahesabu kwenye machine halafu anasema kuna 10,000 hakuna

Hapo unasema labda kweli unatoa mfukoni unampa
Ilijirudia kwa wafanyakazi kama watatu
Siku hiyo tumehesabu wawili hela zote kufika eti ten hamna
Nilipiga kelele na kuwaita wote waizi
Waliona aibu sana mpaka GM akaja kuniomba yaishe
Ila hawakuchukuliwa hatuwa zozote naona wote lao moja

Siku nyingine mmoja wao eti ananipa 10,000 akasema imezidi nikamwambia Chambo hiyo eti [emoji1] [emoji1787]
CRDB Tabata Magengeni kuna Teller mmoja ukienda kutoa hela nyingi (kuanzia 2m) lazima akupige sh 10,000. Halafu anapokuhudumia anakuwa very talkative.
 
Hapa tunapeana tahadhari. Hatua stahiki zilikwisha chukuliwa.

Hata mimi mwanzoni nilidhani benki ni smart 100%, kumbe kuna madudu ya kutosha. Ukiyapata ndo utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatetea na kusema eti ufungue kesi
Wapi? Kuna haki ya kuwafungulia kesi wakati kila leo yanajorudia

Wafanyakazi waizi ndio wanateteana humu
 
Back
Top Bottom