Wenye hela benki kuweni makini na akaunti zenu

Nimecheka sana eti "....nilipiga kelele na kuwaita wote waizi"
 
Hamna kitu kama hicho, nonsense!
 
Poor mindset nimeshuhudia Mtu kama wewe pale bank hela zinahesabiwa ikapungua 90k akakataa manager mwenyewe akazichukua akahesabu tena zikawa pungufu hiyo hiyo 90k,akakubali kwahiyo tunawajua wateja wa hivyo mpo na namna gani ya kudeal nao
 
Hapana cyber attacks za bongo sio kubwa na zinazuilika even ikitokea bank inaka cover loss endapo Mteja haja initiate transaction
 
Madai ya kimasikini sana
 
Nimecheka sana eti "....nilipiga kelele na kuwaita wote waizi"
Hasira [emoji1] unajua na ukiwa mzee utanielewa
Nilikuwa nawashangaa wazee kwa sound ila na mimi nimekuwa sipepesi macho nachana live tena kwa sauti iwe immigration, hospital hata police ni mwendo wa haki tu upende usipende napiga kelele tu

Utasikia mzee basi yaishe [emoji1] [emoji1787]
 
Poor mindset nimeshuhudia Mtu kama wewe pale bank hela zinahesabiwa ikapungua 90k akakataa manager mwenyewe akazichukua akahesabu tena zikawa pungufu hiyo hiyo 90k,akakubali kwahiyo tunawajua wateja wa hivyo mpo na namna gani ya kudeal nao
Siwezi kuandika uongo kama unavyojitetea hapa, wala siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe na kunishutumu kuwa ni muongo
Nyie so-called wasomi wengi ni majizi ila nashangaa sana bado mpo kazini kwa sababu mnabebwa na kushirikiana na managers

Kwa hiyo ulichoshuhudia ukaja na hili poor you

Sasa nilipowachana mbona walikuwa wapole? Mwizi hana Soni na wewe unawatetea
 
Huu uzi unaashiria watu wengi wana elimu duni na hawajui haki zao. Kama mtu umeibiwa taratibu za kufuata si ziko wazi? Kulalamika tu hapa kwamba benki ni wezi naona ni upumbavu, umbea na unafiki. NMB nimeitumia muda mrefu sana na kama kuna tatizo huwa nawaona wahusika tunamalizana. Vijana hizo smartphone zenu mzitumie kujiongezea maarifa.
 
Hapa tunapeana tahadhari. Hatua stahiki zilikwisha chukuliwa.

Hata mimi mwanzoni nilidhani benki ni smart 100%, kumbe kuna madudu ya kutosha. Ukiyapata ndo utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CRDB Tabata Magengeni kuna Teller mmoja ukienda kutoa hela nyingi (kuanzia 2m) lazima akupige sh 10,000. Halafu anapokuhudumia anakuwa very talkative.
 
Hapa tunapeana tahadhari. Hatua stahiki zilikwisha chukuliwa.

Hata mimi mwanzoni nilidhani benki ni smart 100%, kumbe kuna madudu ya kutosha. Ukiyapata ndo utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatetea na kusema eti ufungue kesi
Wapi? Kuna haki ya kuwafungulia kesi wakati kila leo yanajorudia

Wafanyakazi waizi ndio wanateteana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…