Issue kubwa ni gharama ya maintenance.Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers,Bentleys,Porsche, latest BMW X5,6,7 wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana! Maajabu hayaishi duniani.
Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers,Bentleys,Porsche, latest BMW X5,6,7 wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana! Maajabu hayaishi duniani.
Wewe kama mimiYaani hapa mm sijielewi sijui ni masikini au tajiri. Maana nikiwa nimelala nakuwa naishimaisha ya kitajiri sana ndotoni. Asubuhi nikiamka naishi maisha magumu sana. Yaani sujawahi kuishi maisha shida usiku hata ni kilala njaa, ndoto nazoota ni Raha tupu mpk natamani kusikuche.
Mkuu masikini wapo busy sana labda hujakutana nao tu kwenye anga zao.Kaka mbona maskini tupo busy na chips kavu kuuzwa 2000 na zege kuwa 3000.. Hapo bado nyama imepanda around 14k kwa kilo
Hao maskini wanaojadili G wagons. Aidha wanafanya kazi garage au wapo kwenye hali ya "sizitaki mbichi hizi"
Issue kubwa ni gharama ya maintenance.
Matajiri maintainance sio shida zao,Range rover watampa warranty ya miaka 4 au miles 50,000 chochote kitachowahi kabla ya hapo.Baada ya hapo wataya dump watakununua mengine mapya afu masikini watakukuja kuyanunua wapambane na matengenezo.Mkuu anaetoa $200,000 kununua gari hajui kuwa kuna gharama za matengenezo?
Halafu kwa umaskini wetu tunaanza kulialia magari mabovu yanakula hela!Matajiri maintainance sio shida zao,Range rover watampa warranty ya miaka 4 au miles 50,000 chochote kitachowahi kabla ya hapo.Baada ya hapo wataya dump watakununua mengine mapya afu masikini watakukuja kuyanunua wapambane na matengenezo.