Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Usipeleke. Watoto English medium
Usifanye harusi kubwa .hazidumu
Msinunue jeneza zuri na Maua mazuri linaenda kufukiwa
Usijenge ghorofa
Mpaka ukawasikia na wewe itakua ni maskini tu sema unajikakamua mbele yao kuonekana tajiri , matajiri huwa hawana mda wakujua habari za ndani kiasi hiki za maskini.
 
Hela si muhimu sana, hususan kama unazo.

Hela ni muhimu sana kwa wale ambao hawana tu.

Na hela ina viwango tofauti, wewe unaweza kuona kuwa na hayo magari ni kuwa na hela, wakati mimi nimepaki BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje, magari yangu, lakini sihesabu kwamba ni alama ya kuyapatia maisha, ni vyombo vya usafiri tu nilivyovipenda.

Kwanza naona kwa maisha yangu magari ni liability si asset. Ila nahitaji usafiri wa binafsi tu kwangu na dogo anayeenda shule ya sekondari na kupiga misele yake in the X5.
Sawa.
 
Kulingana na Benki ya Dunia masikini ni yule ambaye kwa siku anaishi chini ya USD 2

Hata apate hayo mahitaji kama ni chini ya USD 2 per day huyo ni masikini
Mkuu,

Unaongeleaje suala la Purchasing Power Parity kwamba $2 ya New York City na $2 ya Newala haziko sawa ingawa sehemu zote majina yanaanza na New 😂😂😂
 
Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7

Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!

Maajabu hayaishi duniani.
GT Wewe una gani na ngapi kati ya hizo ulizoorodhesha?
 
Back
Top Bottom