Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Hakuna kitu kama hicho TRA wametudumaza ubongo kwa sababu kodi ni kubwa za magari hata chakavu tunasema new model..
Leo nilikuwa naangalia gari mbili. Ya 2013 na 2016. Hizi gari almost zina shape sawa. Sasa kikokotoo cha TRA kinakupa 2016 kodi 18m na 2013 kosi 13m. Sasa ukiangalia gari zenyewe zinafanana shape na kila kitu unaona bora nichukue ya 2013 tu
 
Ukitoka nje ya mstari lazima uelekezwe. Unapoleta thread yako akikisha unaweza kuitetea. Hii sio platform ya watoto wa chekechea. Mtu ana ist u amwita masikini kwa sababu hana roll royce. Haujui masikini wewe, nenda vijijini ndani ndani uko ukawaone.
Move on. Una kichaa? Kuna mahali nimetaja IST hapa. Niondolee stress zako.
 
Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7

Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!

Maajabu hayaishi duniani.
Wazee WA ulaji wa mafuta na spea jamaa yangu alimshaurinmtu kunua Carina ya enzi hizooo.

JITU BANDIA
 
Kaka mbona maskini tupo busy na chips kavu kuuzwa 2000 na zege kuwa 3000.. Hapo bado nyama imepanda around 14k kwa kilo

Hao maskini wanaojadili G wagons. Aidha wanafanya kazi garage au wapo kwenye hali ya "sizitaki mbichi hizi"
WENGI humu ni mafundi gari na WENGINE ni madogo wakitumwa kuosha gari mabosi wanaingia nalo kitaa kuringa NDO wanakujaga na stori za ulaji wa mafuta.

Unashangaa MTU ana Mazda CX-5 ukimuomba teni anazingua.

Raha ya gari ni PESA UKINUNUA ILI na wewe uwe road utakosa HATA Kodi ya nyumba na watoto otherwise utakuwa unaliegesha unasingizia unafanya zoezi km10 , au inatoka Kwa mbiku MPAKA uhasibu Kwa miguu, umepaki Mazda home inasikitisha
 
Leo nilikuwa naangalia gari mbili. Ya 2013 na 2016. Hizi gari almost zina shape sawa. Sasa kikokotoo cha TRA kinakupa 2016 kodi 18m na 2013 kosi 13m. Sasa ukiangalia gari zenyewe zinafanana shape na kila kitu unaona bora nichukue ya 2013 tu
Mwaka Jana niliacha kununua Scania P410 ya 2019 ina kodi ya 51m nikanunua G460 ya 2015 yenye kodi 34m wakati mileage hii imetembea zaidi ila bei zilikua hazijatofautiana sana kodi inatufanya tununue magari chakavu kila kukicha leo nimeacha raider ya 2025 KUN 136 kodi inasoma 46m nikachukua ya 2017 yenye kodi pungufu...
 
Leo nilikuwa naangalia gari mbili. Ya 2013 na 2016. Hizi gari almost zina shape sawa. Sasa kikokotoo cha TRA kinakupa 2016 kodi 18m na 2013 kosi 13m. Sasa ukiangalia gari zenyewe zinafanana shape na kila kitu unaona bora nichukue ya 2013 tu
Mwaka Jana niliacha kununua Scania P410 ya 2019 ina kodi ya 51m nikanunua G460 ya 2015 yenye kodi 34m wakati mileage hii imetembea zaidi ila bei zilikua hazijatofautiana sana kodi inatufanya tununue magari chakavu kila kukicha leo nimeacha raider ya 2025 KUN 136 kodi inasoma 46m nikachukua ya 2017 yenye kodi 31m
 
Gap kubwa la kodi linafanya watu wanunue gari zilizozeeka. Wakati serikali inatakiwa ishawishi watu wanunue magari ya kisasa.
 
Mkuu hao wanaonunua hayo magari ni asilimia 2 Tu .
Alafu wengi wananunua yakiwa zero kilometres.
Ili uweze kuishi na gari la 2005 - 2014 lazima uchukue tahadhari kubwa, ukisikia neno mtumba lazima uwe na nidhamu
 
Wazee WA ulaji wa mafuta na spea jamaa yangu alimshaurinmtu kunua Carina ya enzi hizooo.

JITU BANDIA
Hujui magari mkuu, hujawahi kumiliki gari! Hivyo kaa kwa kutulia!

Gari yangu ya kwanza nimenunua mwaka 2008, mwezi wa 2, nikiwa na miaka 20 tu! sijui kama ulikuwa umeletwa duniani...!

Tunaposema magari ya maana tunangalia consumption ya mafuta na availability of spares!

Ukinipa Mark X na Toyota Carina,Ist
Nitachagua Carina ama ist...!

By the way hili sio jukwaa lake!

HAPA WEWE NIOMBE MKEKA TU, mambo mengine achana nayo!
 
Nafikiri ni mtazamo tu. Mimi gari ya maana iwe conformable na powerful. Ukinipa Mark X na Carina/IST sichukui IST never. Nitachukua Mark X.
 
Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7

Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!

Maajabu hayaishi duniani.
Usinunue kilauni jini 😬, nilitamani nimzabe vibao vya uso
 
Hela si muhimu sana, hususan kama unazo.

Hela ni muhimu sana kwa wale ambao hawana tu.

Na hela ina viwango tofauti, wewe unaweza kuona kuwa na hayo magari ni kuwa na hela, wakati mimi nimepaki BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje, magari yangu, lakini sihesabu kwamba ni alama ya kuyapatia maisha, ni vyombo vya usafiri tu nilivyovipenda.

Kwanza naona kwa maisha yangu magari ni liability si asset. Ila nahitaji usafiri wa binafsi tu kwangu na dogo anayeenda shule ya sekondari na kupiga misele yake in the X5.
Kumekuchaaaaaaa!! 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom