Wakati wabongo wanaanza kuingiza magari used kwa wingi, jamaa yangu mmoja alinunua benzi lake, ki-mwonekano lilikuwa ni zuri kweli kweli. Baada ya mwezi akaliweka kwenye mawe na halikufufuka tena. Hoja yako inaangukia kwa watu kama hao. i.e. watu wasio na uwezo wa kumiliki gari lakini wanajikakamua kununua ili kuonyesha makapuku ''cha moto'', kuwaringia. Kwa kifupi ni ulimbukeni. Ukisikia mtu analia ''hii gari inakunywa mafuta mno'' (kama aliambiwa gari inakunywa maji) au ni ndoa ya kikatoliki, haliuziki etc jua amenunua kitu asichomudu gharama zake. BTW kumiliki gari ni gharama za uendeshaji, kununua ni step ndogo sana. Ile helkopta ya Musukuma ''mbunge'' bado ipo?Mkuu anaetoa $200,000 kununua gari hajui kuwa kuna gharama za matengenezo?
Yaani Sina stress, huwa naota mpaka namwaga pesa barabarani watu wanagombaniaKwa hiyo we usiku ni bilionea?🤣🤣🤣😁
Niko zangu ndani ya basement sitoki nje mbibi wangu flani loyal ananitunza msosi na mahitaji yote.Wewe wagecuck angalia ICE wasikukamate watakumwaga ubongo.
CFAO naona wanakubali kulipa kwa installments-ineos grenadierSimple
Ni wanasiasa, wasanii, wamiliki wa migodi na wafanyabiashara waliofanikiwa
Huku Bongo hatuna system ya kukopa kwa credit cards kama USA au Sweden kwa hiyo kila kitu inabidi ununue kwa hela yako uliyotafuta mwenyewe ndio maana makundi ya watu wanayomiliki hayo magari ni machache
😅😅😅😅Wanawake njoeni tujadili magari huku 😂😂 cocastic Tayana-wog et al
Haswaa, na hii ndio tabia ya MasikiniWanasubiri Magari ya aina hiyo yabebwe na Break down ili wao wafanye sherehe.
Kabisa mkuu. Mimi nikishakumbuka kuwa sifiki mwaka 2100 basi nasahau shida zangu narusha mikono juu kisha nabanjuka.Haaaahaa kauli mbiu yetu sisi maskini wa Huku misigusigu .
Hao wanyama wakali tupu umepost. Kwa kweli sielewi. Kuna jamaa alikuwa na Disco 4 anaishi huko SA kwa mwaka alikuwa anakuja nalo Tz si chini ya mara nne. Sasa hivi ama Q7 nafikiri ya 2019 hivi anashuka nayo na kurudi at least mara nne kwa mwaka. Gari mvovu kweli itaweza hizo trip?Hizi gari wanasema mbovu utani sana huo..
Ukimsikiliza Fortuner wa Magomeni hautanunua hizi mashine.
View attachment 3530739View attachment 3530740View attachment 3530741
Mtu anakuambia BMW ni mbovu cha ajabu hajawahi hata kumiliki tairi yake, daaahHuku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7
Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!
Maajabu hayaishi duniani.
Hapo hizo gari nne karibu zote zinaanza safari kuja Tanzania za wateja zinakuja kwa kuendeshwa zaidi ya 3000km na pia mtu anakosoa gari ya 2018 au 2022 mi naona ni utani sana mwaka 2009 nilinunua Ford bantam ya 2006 mpaka kesho ipo home inapiga kazi zijawahi kusikia tatizo lolote ndio yaje kuwa mabovu haya mawe ni utani sana huo..Hao wanyama wakali tupu umepost. Kwa kweli sielewi. Kuna jamaa alikuwa na Disco 4 anaishi huko SA kwa mwaka alikuwa anakuja nalo Tz si chini ya mara nne. Sasa hivi ama Q7 nafikiri ya 2019 hivi anashuka nayo na kurudi at least mara nne kwa mwaka. Gari mvovu kweli itaweza hizo trip?
Aione mganga mmoja wa kienyeji wa JF.Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7
Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!
Maajabu hayaishi duniani.
Siku hizi Toyota wanairemba kidogo Hilux. Niliona Legend moja imetoka UK nzuri sana inside out.Hii Fortuner ndani utasikia wakosoaji wa mbagala sasa gari ya 2022 hii..
Ya chini ni Toyota Raider ya 2025 ipo tofauti na Legend ingawaje huko home zote tunaziita Vigo..
View attachment 3530746View attachment 3530747
Niliulizia nikaona wananivuruga tu.Sisi wengine mkombozi wetu ni be forward.Ushajaribu kuuliza? Monthly payments zao pasua kichwa. Hio Granadier cash payment ni Tzs 370m brand new.