RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Kwa mpangilio wa vipato kutokea juu kushuka chini akitoka tajiri hafuati masikini, isipokua tunafuata sisi wa level ya kati ambao wewe ndio umetufanyia rejea kama masikini.Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7
Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!
Maajabu hayaishi duniani.
Pole sana mkuu. No offense intended. Hii haikuhusu wewe level unayojiita. Hii inatuhusu sisi masikini. Sijakosea nazungumzia masikini tunavyosema vitu ambavyo hatuwezi kumiliki.Kwa mpangilio wa vipato kutokea juu kushuka chini akitoka tajiri hafuati masikini, isipokua tunafuata sisi wa level ya kati ambao wewe ndio umetufanyia rejea kama masikini.
Kutokua na hayo magari haimaanishi ya kwamba hatuyajui. Kuna wengine mafundi wa gereji wanayajua ingawa hawana. Ni sawa na fundi ujenzi. Hana nyumba lakini ubora wa vifaa vya ujenzi anavijua.
Nenda vijijini uko ukawaone masikini halisi ambao hawana hata hela ya kununulia pedi mabinti zao wa sekondari halafu uone kama wanaongelea habari za range rover na roll royce
Service history + genuine parts+ dealership ( reputable mechanic ) = stress freeHuku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7
Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!
Maajabu hayaishi duniani.
Hakuna masikini wa kuongelea masuala ya ranger rover. Kwa kujua au kutokujua umeshindwa kum-define masikini ni mtu mwenye hali gani kiuchumi. Lengo la thread yako ni kudhihaki watu wa level ya katiPole sana mkuu. No offense intended. Hii haikuhusu wewe level unayojiita. Hii inatuhusu sisi masikini. Sijakosea nazungumzia masikini tunavyosema vitu ambavyo hatuwezi kumiliki.
Hata mimi waliofuata baada ya Kina jeremy nilikua siwaelewi kabisa,wakina Jeremy naona walienda kufanya kipindi kingine The grand tour lkn sijawafuatilia tena.Top gear was my favorite TV program mpaka walipoondoka Jeremy Clarkson, James May na Richard Hammond.
Wamejaribu kuleta watu wengine lakini show imekosa mvuto kama wa awali.
Mkuu we endelea kutafuta ajira.Hakuna masikini wa kuongelea masuala ya ranger rover. Kwa kujua au kutokujua umeshindwa kum-define masikini ni mtu mwenye hali gani kiuchumi. Lengo la thread yako ni kudhihaki watu wa level ya kati
Haaaahaa kauli mbiu yetu sisi maskini wa Huku misigusigu .Masikini nikikumbuka kuwa wote duniani tunapita huwa nafarijaka sana.
Mkuu just move on. Usitake kujifanya unajua nafikiria nini. Kama ume catch feeling that's your problem.Hakuna masikini wa kuongelea masuala ya ranger rover. Kwa kujua au kutokujua umeshindwa kum-define masikini ni mtu mwenye hali gani kiuchumi. Lengo la thread yako ni kudhihaki watu wa level ya kati
Wapo ambao hawajui gharama za matengenezo.Mkuu anaetoa $200,000 kununua gari hajui kuwa kuna gharama za matengenezo?
Si kama maskini bwashee kipi kiarabu hapo?Wewe kama mimi
Umejuaje hao ni wanawake?Wanawake njoeni tujadili magari huku 😂😂 cocastic Tayana-wog et al
SimpleHivi ni aina gani ya watu wanaendesha hizi lamborghini urus, toyota century na rolls royce phantom hapa tanzania? Aisee.
Kwa hiyo we usiku ni bilionea?🤣🤣🤣😁Yaani hapa mm sijielewi sijui ni masikini au tajiri. Maana nikiwa nimelala nakuwa naishimaisha ya kitajiri sana ndotoni. Asubuhi nikiamka naishi maisha magumu sana. Yaani sujawahi kuishi maisha shida usiku hata ni kilala njaa, ndoto nazoota ni Raha tupu mpk natamani kusikuche.
Mimi naona mtu akiweza kupata mahitaji Muhimu ya binadamu , chakula mavazi na malazi bila kutetereka huyo sio maskini .Masikini: "Hivi hawa matajiri wapoje utakuta tajiri ananunua gari la milioni 300 hafikirii kununua gari la milioni 200 ili milioni 100 inayobaki awasaidie wenye uhitaji?"
Umasikini ni laana
Hela si muhimu sana, hususan kama unazo.Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7
Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!
Maajabu hayaishi duniani.
Naunga mkono hojaHela si muhimu sana, hususan kama unazo.
Hela ni muhimu sana kwa wale ambao hawana tu.
Na hela ina viwango tofauti, wewe unaweza kuona kuwa na hayo magari ni kuwa na hela, wakati mimi nimepaki BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje, magari yangu, lakini sihesabu kwamba ni alama ya kuyapatia maisha, ni vyombo vya usafiri tu nilivyovipenda.
Kwanza naona kwa maisha yangu magari ni liability si asset. Ila nahitaji usafiri wa binafsi tu kwangu na dogo anayeenda shule ya sekondari na kupiga misele yake in the X5.
Najua tu babeUmejuaje hao ni wanawake?