Wenye kuhitaji madarasa ya ukuaji wa kiroho ili kupata uhuru wa kweli na amani ya ndani mcheki Mwalimu hapa

No Reforms No Elections
 
Haya ni madarasa kwa wanaotaka kuona nuru, kufungua codes mbalimbali za mambo magumu kuvuka level za sijui kulogwa, magonjwa matatizo ukaa nawe mbali ukiwa na Nuru ni kwa wanaotaka kufungua ufahamu wao subconscious mind kuamsha uungu ndani mwao wanaotaka kujua nini maana ya ufalme wa Mungu uu ndani mwako
 
Unless you make the unconscious conscious, it will control your life and you will call it fate. - C.G Jung.

No one can free you, except you. True freedom comes from within not without.
 
Wanaotaka kuishi maisha ya kiroho ipo tofauti ya maisha ya kiroho na maisha ya kidini.
Ili kuipata amani ya kweli na maisha ya uhuru wa kiuchumi nk
 
Mtalizwa sana na watu wanaojifanya wanauza Pete za bahati eti mafuta ya upako , kuwasomea nyota na blabla nyingi tu.

Ninao rafiki zangu wanauziwa Pete za ajabu ajabu kuja kuzipima ni mabati matupu
 
Watu weusi
Ujingaujinga tu uzwazwa mtupu
Badala ya kuja kutoa elimu ya maarifa ya biashara, ufundi na sayansi
Mnaleta upupu halafu mnataka mlipwe hela kufundisha ulozi na kudumaza akili, Pumbavu.....
Hayo yote sijui uchumi technology ufundi huwezi toboa kama mindest haipo poa.
Tunatibu kwanza ufahamu ndipo chochote ufanyacho unatoboa nje ya hapo utaombewa sana,utatapeliwa sana na waganga but no ufumbuzi ukiwa na Nuru unavuka level za kutegemea visaidizi sijui waganga, maombezi kwa mambo ambayo tayari Mungu alishakupa ndo maana ya kumiliki na kutawala.
 
Mtalizwa sana na watu wanaojifanya wanauza Pete za bahati eti mafuta ya upako .

Ninao rafiki zangu wauziwa Pete za ajabu ajabu kuja kuzipima ni mabati matupu
Hivyo vinaitwa ni visaidizi au nguvu za nje au booster kwa wasiojua kutumia nguvu zao za ndani lazima ulizwe si hauna maarifa ukiwa nayo utalizwa vipi
 
Hivyo vinaitwa ni visaidizi au nguvu za nje au booster kwa wasiojua kutumia nguvu zao za ndani lazima ulizwe si hauna maarifa ukiwa nayo utalizwa vipi
Ipo siku utakuja kuelewa ninacho kimaanisha
 
Naomba kujua iwapo nayo haki ni sehemu ya mafundisho hayo na kuja hata kama ikiwa ni Nigeria
 
Nafasi nzuri kwa wapenda maarifa shida labda inaweza kuwa hapo kwenye malipo
Kwasasa haya mafundisho ya kiroho yanachanganya sana maana yamekuwa fursa kwa wahubiri kuliko kuwa huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…