Hawajalipa watu almost for the past 3 weeksHabarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu
KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC
Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa
nkaona nimuulize mwenye idea NAYO. Humuuu...
Nahisi n network business
Mwenye idea tujulishane...
Ruksa HATA kujielexa inbox kam una hakika nayoooo
Masihara mkuuuu aisee na nimemuuliza hawasumbui kulipa akasema iningia unatoa ndani yamasaa 12..Hawajalipa watu almost for the past 3 weeks
Subiri kwanza
Bwana wewe maswali yasiwe mengi. Jiingize ukapigwe pesa, uje ulalamike JF tukupe ushauri uende kwa Mwamposa 😃Masihara mkuuuu aisee na nimemuuliza hawasumbui kulipa akasema iningia unatoa ndani yamasaa 12..
NkaaamuliZa anakaa wapi likibuma nimtafute
kwa sasa aasemi nkaona OOOH yaliyonkuta mpaka Leo siongei na NDUGU ZANGU niliwekeza pesa pesa kutoa mimba nkaambiwa kampuni imefungwa aisee
Hawa Tena NKASEMA niwafwatilie
Kweli usemavyo ila tatizo unakuwa hauna uhakika wa kile ulichowekeza na kile unachotarajia kuvunaWapoo waliotoboa mkuu kuuliza sio UJINGA UJINGA kuchelewa