Wenye kuzijua hizi "Turntable Speakers" naombeni ushauri.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced?

Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically nikaitumia.

Wenye uzoefu naombeni moja mbili zake.

Screenshot_2024-12-04-22-48-16-242_com.instapro.android-edit.jpg

Screenshot_2024-12-04-22-48-34-396_com.instapro.android-edit.jpg

Screenshot_2024-12-04-22-50-07-803_com.instapro.android-edit.jpg

Screenshot_2024-12-04-22-50-27-756_com.instapro.android-edit.jpg

Screenshot_2024-12-04-22-51-03-981_com.instapro.android-edit.jpg
 
Iko overpriced and most of these sio nzuri zinaua mziki

hizi tunatumia tu ila sio nzuri sana. Hizi ni za kisasa zina bluetooth
 
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced?

Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically nikaitumia.

Wenye uzoefu naombeni moja mbili zake.

View attachment 3169173

View attachment 3169174

View attachment 3169175

View attachment 3169176

View attachment 3169177
Ile wanayoita Redio Mbao Imerudi?😅😅
 
Iko overpriced and most of these sio nzuri zinaua mziki

hizi tunatumia tu ila sio nzuri sana. Hizi ni za kisasa zina bluetooth
Hebu nipe shule kidogo mkuu, zinauaje mziki..

Na vipi kuhusu sound quality ya haya madude imekaaje?
 
Player nzuri kabisa zinakuwa na diamond needle, hizi za kisasa zinakwangua grooves mda mwingine huwa tunatumia tu sio bora.

Ukitazama surface ya player kiwa n mikwaruzo mziki hauwi mzuri
 
Nunua tu, 150k. Max 200k.
Kwa sababu unatumia players nyingi the are replaceable

Mimi nina hizi machine, huwa natumia kwa players ambazo nina multiple copies

Nina 3000+ santuri, nyumbani. Furahia
Mkuu inaonekana wewe ni mdau wa mziki....je naweza kupata abcd za music

Nahitaji mujifunza kupiga Gitar na pia nawaza kuwa na Band ya music je nimechelewa kwa umri wangu huu wa 1980's
 
Una u-guru kwenye hizi dude mkuu.

Na vipi sound output zake huwa zikoje..

Au ina tegemeana na buildup materials?
 
Haha nimecheka kama fala
Mimi sio msanii wa mziki au kuwa nafanya mziki

Nilijikuta nanunua hizi santuri baada ya kujuana na jamaa mmoja Uganda huko. Yeye jamaa alikuwa ni mwandishi wa vitabu, basi nikajiunga nae kwenye hiyo kazi, tukawa tunatengeneza vitabu na kutafsiri

Ila pia nishafanya kazi za kutengeneza documentary za mziki wa zamani na baadhi ya wadau.

Mwakani Mungu akinibariki nitakuwa na ugeni mkubwa nyumbani tunapanga kutoa documentary moja matata sana kwa ajili ya BBC World.
 
BAsi nipe connection Mkuu
 
Una u-guru kwenye hizi dude mkuu.

Na vipi sound output zake huwa zikoje..

Au ina tegemeana na buildup materials?
Hivi vidude vya kichina unauliza sound output mzee?

Humu kuna wadau washanitafuta sana kuhusu mambo ya mziiki huu wa zamani na wameshanitembelea home. Cha ajabu sijui ID zao humu ila najua majina yao

Kama kuna mtu ambae alishakuja home please nikumbushe nijue ID zenu..
 
Back
Top Bottom