Wenye kuzijua hizi "Turntable Speakers" naombeni ushauri.

Wenye kuzijua hizi "Turntable Speakers" naombeni ushauri.

Kama ina bluetooth siyo nzuri kwani inachukua muziki analogue na kuudigitize on the fly. Tafuta analogue original kama vile Telefunken hii, ambayo marahemu baba alikuwa nayo

1733345325746.png

Kushoto ni radio receiver ya bendi nne

1733345454239.png

Kulia ni turntable changer ya kubeba santuri 12

1733345577194.png
 
Nunua tu, 150k. Max 200k.
Kwa sababu unatumia players nyingi the are replaceable

Mimi nina hizi machine, huwa natumia kwa players ambazo nina multiple copies

Nina 3000+ santuri, nyumbani. Furahia
Nmeona post yako wazitafuta, na mimi nataka kununua hiyo vinyl player, vipi sound yake kwa maana ya quality na pia huwa inakuwa na connection za speaker
 
Nmeona post yako wazitafuta, na mimi nataka kununua hiyo vinyl player, vipi sound yake kwa maana ya quality na pia huwa inakuwa na connection za speaker
Mimi natafuta santuri, sinunui player. Namunua santuri ambazo ni before vinyl records

Zina spika, na baadhi unaweza ku connect na sabufa
Hizi za kisasa zina bluetooth built in

Hizi sound quality ya kawaida tu na zinafaa kwa matumizi ya nyumbani

Nunua ufurahie mziki wa zamani
 
Kama ina bluetooth siyo nzuri kwani inachukua muziki analogue na kuudigitize on the fly. Tafuta analogue original kama vile Telefunken hii, ambayo marahemu baba alikuwa nayo

View attachment 3169199

Kushoto ni radio receiver ya bendi nne

View attachment 3169202

Kulia ni turntable changer ya kubeba santuri 12

View attachment 3169203
Huu mfumo wa changer sio mzuri kwa player kabisa ndio maana. Inazikusanya kwa pamoja kusababisha uharibifu in long term

Ulikuwa outdated, trust me hakuna mtu ana waste kuplay mfumo huu siku hizi
 
Z

Connection, okay

Msanii huyu jamaa ni msanii mkubwa tu maarufu bongo ingawa hapendi makuu
Ingawa nafanya music lakini as a hobby. Nitamuunganisha na mzee John Kitime atamsaidia sana maana ana collection kubwa na kuna mradi kama huo anaufanya.

Akiwa tayari aseme nimuunge
 
Why would you think this
Mi napenda gadgets mkuu kwa hiyo price nalipa hiyo ipo upgraded ina bluetooth na sound yake itakua quality nzuri tu uhakika hapo itakua kama unamiliki artifact flani hivi ya kisasa
 
Back
Top Bottom