Why would you think thisWorth every penny
Ile wanayoita Redio Mbao Imerudi?😅😅Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama iko overpriced?
Hizi dude nazionaga sana kwenye movies ila sijawahi kutana nayo physically nikaitumia.
Wenye uzoefu naombeni moja mbili zake.
View attachment 3169173
View attachment 3169174
View attachment 3169175
View attachment 3169176
View attachment 3169177
Player nzuri kabisa zinakuwa na diamond needle, hizi za kisasa zinakwangua grooves mda mwingine huwa tunatumia tu sio bora.Hebu nipe shule kidogo mkuu, zinauaje mziki..
Na vipi kuhusu sound quality ya haya madude imekaaje?
Hiyo ni housing tu sio radio mbao wala niniIle wanayoita Redio Mbao Imerudi?😅😅
Asante mkuu..Player nzuri kabisa zinakuwa na diamond needle, hizi za kisasa zinakwangua grooves mda mwingine huwa tunatumia tu sio bora.
Ukitazama surface ya player kiwa n mikwaruzo mziki hauwi mzuri
Nunua tu, 150k. Max 200k.Asante mkuu..
Nimepata points za kumshusha..
Mkuu inaonekana wewe ni mdau wa mziki....je naweza kupata abcd za musicNunua tu, 150k. Max 200k.
Kwa sababu unatumia players nyingi the are replaceable
Mimi nina hizi machine, huwa natumia kwa players ambazo nina multiple copies
Nina 3000+ santuri, nyumbani. Furahia
Una u-guru kwenye hizi dude mkuu.Nunua tu, 150k. Max 200k.
Kwa sababu unatumia players nyingi the are replaceable
Mimi nina hizi machine, huwa natumia kwa players ambazo nina multiple copies
Nina 3000+ santuri, nyumbani. Furahia
Haha nimecheka kama falaMkuu inaonekana wewe ni mdau wa mziki....je naweza kupata abcd za music
Nahitaji mujifunza kupiga Gitar na pia nawaza kuwa na Band ya music je nimechelewa kwa umri wangu huu wa 1980's
BAsi nipe connection MkuuHaha nimecheka kama fala
Mimi sio msanii wa mziki au kuwa nafanya mziki
Nilijikuta nanunua hizi santuri baada ya kujuana na jamaa mmoja Uganda huko. Yeye jamaa alikuwa ni mwandishi wa vitabu, basi nikajiunga nae kwenye hiyo kazi, tukawa tunatengeneza vitabu na kutafsiri
Ila pia nishafanya kazi za kutengeneza documentary za mziki wa zamani na baadhi ya wadau.
Mwakani Mungu akinibariki nitakuwa na ugeni mkubwa nyumbani tunapanga kutoa documentary moja matata sana kwa ajili ya BBC World.
Hivi vidude vya kichina unauliza sound output mzee?Una u-guru kwenye hizi dude mkuu.
Na vipi sound output zake huwa zikoje..
Au ina tegemeana na buildup materials?