Nmeona post yako wazitafuta, na mimi nataka kununua hiyo vinyl player, vipi sound yake kwa maana ya quality na pia huwa inakuwa na connection za speakerNunua tu, 150k. Max 200k.
Kwa sababu unatumia players nyingi the are replaceable
Mimi nina hizi machine, huwa natumia kwa players ambazo nina multiple copies
Nina 3000+ santuri, nyumbani. Furahia
Mimi natafuta santuri, sinunui player. Namunua santuri ambazo ni before vinyl recordsNmeona post yako wazitafuta, na mimi nataka kununua hiyo vinyl player, vipi sound yake kwa maana ya quality na pia huwa inakuwa na connection za speaker
Huu mfumo wa changer sio mzuri kwa player kabisa ndio maana. Inazikusanya kwa pamoja kusababisha uharibifu in long termKama ina bluetooth siyo nzuri kwani inachukua muziki analogue na kuudigitize on the fly. Tafuta analogue original kama vile Telefunken hii, ambayo marahemu baba alikuwa nayo
View attachment 3169199
Kushoto ni radio receiver ya bendi nne
View attachment 3169202
Kulia ni turntable changer ya kubeba santuri 12
View attachment 3169203
Ingawa nafanya music lakini as a hobby. Nitamuunganisha na mzee John Kitime atamsaidia sana maana ana collection kubwa na kuna mradi kama huo anaufanya.
Mi napenda gadgets mkuu kwa hiyo price nalipa hiyo ipo upgraded ina bluetooth na sound yake itakua quality nzuri tu uhakika hapo itakua kama unamiliki artifact flani hivi ya kisasaWhy would you think this