GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili Mtu akubali na baadae 'achojoe' mwenyewe na 'awekwe' nao Wote.
Upo zako Baa na Mtoto wa Watu ( Mwanamke Mrembo ) unamwaga Sera zako ulizozikariri halafu unawaona hawa Wafanyabishara Wamachinga wanakuja wakiwa Kundi na kuja kuweka Kambi katika Meza uliyokaa ( tena hata hukuwaita ) na kila Mtu kwa wakati Mmoja anakuonyesha Bidhaa yake anayouza. Na hata ama ukiwambia Asante ili waondoke au ukiwakazia Macho ya Hasira / Makali kwa huo Usumbufu wao hawaondoki.
Huwa najiuliza sana ni kwamba hawa huwa Wanatumwa au Wanafanya Kusudi tu au hutaka tu Kutafuta ubaya nasi?