Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

Leo ni miaka 57 imepita dingi kafariki kaniacha Nina miaka saba tu sasa shuruba na mateso niliyoyapata kwa walezi wangu siwezi kusimulia huwa nalia nikikumbuka binadamu wabaya sana ni wazuri tukiwa tumelala kwenye makaburi tu
Shikamoo mzee mwenzangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe dishi liliyumba unamkimbiza mzee mitaa yenye watu wengi ili akupotezee...mimi wa kwangu anarudi kukusubiria nyumbani dadeki unapata kipigo mara kumi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wewe dishi liliyumba unamkimbiza mzee mitaa yenye watu wengi ili akupotezee...mimi wa kwangu anarudi kukusubiria nyumbani dadeki unapata kipigo mara kumi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mim mzee hakua mkali kabisa mbaya zaid nikimbia usiku alikua anaanza kunitafuta yeye mwenyewe tena anakua mpole tu... mim bi mkubwa tu ndiye kanikung'uta haswa kuna day nilichezea vitasa zaid ya 100+ bila barozi wa mtaa ile siku ningegusa 200+
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani kweli alikuwa mpole sema hata mimi aliyekuwa ananifanyia hivyo ni sista sio baba
 
 
Wewe wasema mzee kila mmoja kapitia malezi yake aisee! Mim nakuambia hvyo watoto wa mzambarauni nilikua nao wanajua haah
 
Ila faza ni faza aisee...

Hapa nilipo kilikizo flan namchek, naishia tu kucheka.
Maana namkubali sana, ila kasheshe lake enzi hizo nikikumbuka, naishia kusema ahsante.... Amenifunza ubandidu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…