KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wanaotakiwa kutuhudumia tukifika ofisini hawapo utashangaa sasa.....mara chai saa 2....akirudi lunch muda wa kutoka umefika njoo kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…